Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

Watu wengi waoga kuwekeza ndio maana mtu analipwa mshahara lakini bado ana hali mbaya, kwanini asingewekeza kupitia mshahara wake
Mkuu wengine walioiba kwa mfano wanatakatisha pesa zao kwa matajiri wakubwa

Magu alifunga money exchange na kipitia zote kwa sababu wengi ndio wwlikowekeza na wanajuana

Money laundering tu ndio wanajua

Wabongo kufungua kampuni na kuajiri watu 100 ni ndoto na sababu zenyewe ni kuwa wengi hawana exposure na kuwaza mbele
Hawezi kusema aweke akiba miaka hata 10 halafu afanye cha maana
 
Natafuta eka 20 hata kama ni 50 miles toka mjini ila bei iwe ya kuridhisha sifungui petrol station wala isiwe karibu na barabara
 
Kweli mkuu
 
Anauza ekari moja
 
Hili lipo upande upi hapo kikongo?
Kama unaelekea sangwe,mzenga,soga au ruvu?
Na kutoka eneo la viwanda la Mama Samia ni umbali gani?
 
Hili lipo upande upi hapo kikongo?
Kama unaelekea sangwe,mzenga,soga au ruvu?
Na kutoka eneo la viwanda la Mama Samia ni umbali gani?
Karibu na hapo Wiwandani, ukifika Viwandani umefika mkuu, watu wamechangamkia maeneo haya baada ya kuona neema inakuja
 
Karibu na hapo Wiwandani, ukifika Viwandani umefika mkuu, watu wamechangamkia maeneo haya baada ya kuona neema inakuja
Ahsante ngoja nijaribu kuongea na wadau wangu kama wapo interested kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…