Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu wengine walioiba kwa mfano wanatakatisha pesa zao kwa matajiri wakubwaWatu wengi waoga kuwekeza ndio maana mtu analipwa mshahara lakini bado ana hali mbaya, kwanini asingewekeza kupitia mshahara wake
Magu alifunga money exchange na kipitia zote kwa sababu wengi ndio wwlikowekeza na wanajuana
Money laundering tu ndio wanajua
Wabongo kufungua kampuni na kuajiri watu 100 ni ndoto na sababu zenyewe ni kuwa wengi hawana exposure na kuwaza mbele
Hawezi kusema aweke akiba miaka hata 10 halafu afanye cha maana