Shamba Lina nyaraka gani?Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar
-Hekari 4 zimepandwa miti aina ya mitiki yenye miaka 7 na kuna nyumba moja kwa ajili ya wafanyakazi
-Shamba limepakana na barabara kuu inayokwenda Matombo na upande wa pili barabara inayokwenda Ngerengere
-Lina leseni ya makazi
-Bei ni Milioni 25 kwa lote
Nyaraka zote za umiliki wa serikali ya kijijiShamba Lina nyaraka gani?
Mkuu shamba bado lipo?Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar