Shamba lenye ukubwa wa heka 22 linauzwa, Shamba lipo Mikese Mkoa wa Morogoro, KM 4 kutoka Mizani ya Mikese Morogoro au barabara kuu ya Morogoro-Dar
-Hekari 4 zimepandwa miti aina ya mitiki yenye miaka 7 na kuna nyumba moja kwa ajili ya wafanyakazi
-Shamba limepakana na barabara kuu inayokwenda Matombo na upande wa pili barabara inayokwenda Ngerengere
-Lina leseni ya makazi
-Bei ni Milioni 25 kwa lote