Plot4Sale Shamba heka 5 linauzwa Vigwaza

Hili ni angalizo zuri sana. Kwa sasa watu wengi wananunua sana kule. Kuna maeneo ukienda utashangaa mwenyewe jinsi ambavyo watu wanashusha maghorofa huko ndanindani. Ndio maana bei nazo zinapanda kila kukicha
 
For sure mkuu ...watu wasikurupuke wajiridhishe kwanza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lina maji? au mto uko karibu?
Halina mto karibu ila DAWASA wameshafikisha maji maeneo ya karibu sana na hapo. Umbali kama mita 400 kutoka shamba lilipo kuna huduma ya maji ya DAWASA
 
Karibu wakuu mjipatie shamba kwa bei sawa na bure. Ni jirani na barabara na maeneo ya jirani na shamba yameanza kuendelezwa kwa watu kujenga maghorofa
 
Vipi bei inaweza kupungua? Nitakuona kwa Private Message
 
Ukilihitaji shamba hili tunaweza kufanya mazungumzo na kukubaliana bei
 
Karibuni wateja mjipatie shamba kwa bei rahisi kabisa
 
Karibuni wateja mjipatie shamba kwa bei rahisi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…