Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni angalizo zuri sana. Kwa sasa watu wengi wananunua sana kule. Kuna maeneo ukienda utashangaa mwenyewe jinsi ambavyo watu wanashusha maghorofa huko ndanindani. Ndio maana bei nazo zinapanda kila kukichaMkuu ningekushauri ukifika kule jitahidi sana ukutane na wenyeji coz kutokana na ujio wa Bandari kavu Mashamba na viwanja vinauzwa kwa kasi sana ...Na tayari kuna maeneo inasemekana yanauzwa mara mbili ..so kuwa makini sana .... usije ukatapeliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
For sure mkuu ...watu wasikurupuke wajiridhishe kwanza....Hili ni angalizo zuri sana. Kwa sasa watu wengi wananunua sana kule. Kuna maeneo ukienda utashangaa mwenyewe jinsi ambavyo watu wanashusha maghorofa huko ndanindani. Ndio maana bei nazo zinapanda kila kukicha
Safi mkuuHii imekaa vizuri sana. Mtu akitaka kununua nitampa hizo GPS coordinates za eneo ili akajirizishe wizarani maana nililipima ukubwa kwa GPS
Ni jirani na huko wanakojenga bandari ya nchi kavu?Maji ya DAWASA hayako mbali lakini ukiamua kuchimba kisima maji hayako mbali sana na ni maji yasiyo na chumvi
Ni eneo la matumizi ya viwanda?Kwa km 2 Kama Ni upande wa kwenda bandari kavu bei hizo ndo za sasa,Kama Ni upande wa buyuni zipo,laki 8 kwa ekari
Ungeweka na picha tuoneKaribu wakuu mjipatie shamba kwa bei sawa na bure. Ni jirani na barabara na maeneo ya jirani na shamba yameanza kuendelezwa kwa watu kujenga maghorofa