Aris Saolanica
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 124
- 84
Ukifikia maamuzi ya kuliuliza nishtue tafadhali.
Mkuu Kawoli lile shamba linauzwa kwahiyo karibu sana.Ukifikia maamuzi ya kuliuliza nishtue tafadhali.
Weka bei...Habari za majukumu wapendwa wana JF
Nina Hekari 10 nazikodisha, eneo la Mkoa wa pwani, karibu na Kibiti, eneo ni zuri kwa kufanya shughuli za kilimo kwani rutuba yake ni nzuri kwa kustawisha mazao ya aina mbalimbali. Kila hekari nakodisha kwa Shilingi 50,000 tu. Sote tunatambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu. Tunaweza kuwasiliana kwa namba 0742 963 845
Tafadhari changamkia fursa hii ili isikupiteeee
Habari za majukumu wapendwa wana JF

Weka bei. Na pia sema Niko ndani ndani kutoka kibiti mjini kwa umbali gani?Mkuu Kawoli lile shamba linauzwa kwahiyo karibu sana.
nauza mkuu. Karibu tuongee biashara.Ukifikia maamuzi ya kuliuliza nishtue tafadhali.
Mkuu laki mbili kubwa kwa heka,Fanya laki na nusu .nauza mkuu. Karibu tuongee biashara.