Shamba Hekari 10 linakodishwa (Mkoa wa Pwani)

Aris Saolanica

Senior Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
124
Reaction score
84
Habari za majukumu wapendwa wana JF

Nina Hekari 10 nazikodisha, eneo la Mkoa wa pwani, karibu na Kibiti, eneo ni zuri kwa kufanya shughuli za kilimo kwani rutuba yake ni nzuri kwa kustawisha mazao ya aina mbalimbali. Kila hekari nakodisha kwa Shilingi 50,000 tu. Sote tunatambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu. Tunaweza kuwasiliana kwa namba 0742 963 845

Tafadhari changamkia fursa hii ili isikupiteeee
 
Weka bei...
 
Uza kabisa mteja nipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa uweke bei mwanaume unajiuma uuma.
 
Back
Top Bottom