Aris Saolanica
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 124
- 84
Habari za majukumu wapendwa wana JF
Nina Hekari 10 nazikodisha, eneo la Mkoa wa pwani, karibu na Kibiti, eneo ni zuri kwa kufanya shughuli za kilimo kwani rutuba yake ni nzuri kwa kustawisha mazao ya aina mbalimbali. Kila hekari nakodisha kwa Shilingi 50,000 tu. Sote tunatambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa letu. Tunaweza kuwasiliana kwa namba 0742 963 845
Tafadhari changamkia fursa hii ili isikupiteeee