Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Habari,

Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini

2) Ukubwa? Ekari 100+

3) Umbali toka barabara kuu: 5km

4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo

5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja

6) Linafaa kwa kilimo cha miti, parachichi, chai, viazi mviringo nk

Kwa Mwekezaji seroous, hili eneo zuri sana kwa mikakakti ya kilimo, udongo wake una rutuba asili kabisa..barabara kufika hapo ipo, maji sio tatizo, kuna mto karibu

Ni eneo lenye gentle slope na sehem zingine tambarare. (Kwa aliye serious tutapima kwa GPS bila shaka ila ni zaidi ya ekar 100). 0652656565
 
600,000/=*100= 60,000,000/= Milioni 60 za kitanzania. Vp mifugo inaweza kustaimmili hali ya hewa uko njombe?maana ilo eneo mtu akihamua anaweza kuifanya lunch ndogo.
 
Kwa njombe bei yako ya 600k@heka bado kubwa
 
600,000/=*100= 60,000,000/= Milioni 60 za kitanzania. Vp mifugo inaweza kustaimmili hali ya hewa uko njombe?maana ilo eneo mtu akihamua anaweza kuifanya lunch ndogo.
Yes, panafaa akapazingira vema , akawa na shamba la nyasi na mazizi ya kisasa na kijiwanda cha kuzalishia product za mifugo. Hali ya hewa ni ya baridi hasa wakati wa baridi may to August lakin sio ya kutisha. Jiografia ya milima na mabonde, mito ya maji na wakat mwingine haya maeneo ni virgin sana kwa mambo mengi hasa nini kipo chini ya ardhi..
 
Back
Top Bottom