Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 30
- 45
Namtafuta shamba la kununua morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morogoro sehemu gani??Namtafuta shamba la kununua morogoro
Heka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavuMorogoro sehemu gani??
Unahitajia hekari ngapi??
Liwe la mpunga au haya ya nchi kavu mahindi na n.k
Jibu hapa mkuu
Jipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemziHeka Tano...umbali usizidi km 30 tokea mjini... Liwe la nchi kavu
Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lileJipange, kwa imbali huotafuta maeneo ya kihonda Bwawani MV mapemzi
Liko pa serikali na la wanakijiji,Bwawani mbona nasikia wanasema ni eneo la serikali lile
Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemu ya raiaLiko pa serikali na la wanakijiji,
Unaweza niunganisha na mtu ambae anajua demarcation ya sehemu ya serikali na sehemuLiko pa serikali na la wanakijiji,