Shamba la mikorosho ya kisasa inayozaa linauzwa Lindi

Shamba la mikorosho ya kisasa inayozaa linauzwa Lindi

Joined
Nov 19, 2019
Posts
9
Reaction score
6
SHAMBA LENYE MIKOROSHO YA KISASA INAYOZAA VIZURI LINAUZWA.

ENEO SHAMBA LILIP0: Mkoa wa Lindi, kilomita 4 kutoka barabara kuu ya lami inayoenda Mtwara.

UKUBWA WA SHAMBA: Ekari 30

IDADI YA MITI KWA EKARI: Miti ya mikorosho 25 mpaka 30 kwa Ekari moja.

STATUS YA MAVUNO: Mikorosho yote inazaa vizuri. Wastani wa Kilo 45 kwa mkorosho mmoja.

UMRI WA MIKOROSHO: Miti ya mikorosho yake ina umri wa miaka sita

BEI: Shilingi milioni 3 kwa ekari moja

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba +255 754 712 116

IMG_20220211_141131.jpg


IMG-20220204-WA0013.jpg
 
Kilometer nne maanake liko nyuma ya mtange?hapo nikidhani NI mashamba ya chumvi pekee?
 
Mambo mengine ni very personal, huhitaji hata kujua! Kama unayo pesa - ingia kwenye biashara - blaaa blaaa za nini?!
Punguza kiburi, sio vibaya mtu kujua sababu ya kuuza, itakugharimu nini ukijishusha na kusema umetingwa! Sio lazima useme moja moja tatizo lako, umepewa akili itumie vizuri.
 
Baada ya namunda Kisha luokwe sindio?napajua Sana


Wadau Wana maana nzuri kukuuliza kwanini unauza wakati ulishapoint hela...heka 30 hapo ukitia ng'ombe na kuku aisee wewe NI boss
 
Punguza kiburi, sio vibaya mtu kujua sababu ya kuuza, itakugharimu nini ukijishusha na kusema umetingwa! Sio lazima useme moja moja tatizo lako, umepewa akili itumie vizuri.
Sawa kwa mawazo yako, hakuna anayekukatalia kusema upendavyo, kwani "akili ni nywele na kila mtu ana zake"; ila kama mwenye uzi angetaka ujue sababu za kuuza mali yake ANGESEMA! Kunyamaza kwake ni dalili ya kuweka SIRI MAMBO YAKE. Kuwa mwelewa. OK hata sasa ukijua sababu ya uamuzi huo - SO WHAT!? Itashusha au itabandisha bei ya hilo shamba!?
 
Back
Top Bottom