Shamba lenye miti ya mitiki linauzwa ekari 6 tanga Korogwe

jaytravo

Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
56
Reaction score
25
Shamba lipo Tanga Korogwe
ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
 
Reactions: K11
Kazi ni kipimo cha utu na kimfaacho mtu ni chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…