mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Tutaften hela jameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie huwa mnasafishaje nimechoka usumbufuKwa mahitaji ya Viwanja/mashamba Bagamoyo,Kibaha,Bunju,Goba...
karibu
0755155782
Muda sasa ndo shida, nitaendelea kutafutanimeulizia sana Ila sijapata jibu kama kuna kampuni wanafanya Hiyo kazi,
tafuta vijana uwasimamie.
Habari nimepata vijana wa kufanya nayo kazi kama upo tayari,naomba location kamili na kavideo La eneo ili tujithaminishe kabisa..Nina shida, nina shamba heka 10 nataka lisafishwe bila usumbufu kuna kampuni inayofanya hiyo kazi? Watu binafsi wamenishinda
kibaha watu wanajilimia ufuta...karibuni viwanja na mashamba.View attachment 1430193