Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuanzia shilingi ngapi?
Viwanja vya makazi na biashara vipo Kibaha,Goba,Bagamoyo na Kigamboni kwa bei nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanja vya makazi na biashara vipo Kibaha,Goba,Bagamoyo na Kigamboni kwa bei nzuri
Kwa awamu unalipia awamu ngapi?Viwanja vizuri sana! Eneo lipo Bagamoyo road pembeni mwa Baobabs school, eneo ni zuri sana na ni Tambarare, umbali ni mita mia nne tu mpaka barabara ya Bagamoyo , ni sehemu ya kutembea tu, bei kwa SQM ni 17,500, ukubwa vinaanzia Sqm 400 unaweza kununua mpaka eka 6 na zaidi! Malipo yapo aina mbili Unaweza kulipia cash au kwa awamu, karibuni
0755155782
Pia kuna Viwanja Goba na Kiluvya...
Bei ya mtanzania.
vyote vitatu 8M?Kiwanja Kinauzwa Kiluvya karibu kabisa na Barabara,
umbali dakika 4-6 kutoka morogoro road
ukubwa 20*20
Bei ni 8m
vipo 3
vimeshapimwa.
karibuni
Vp naweza pata kiwanja hukoOngea hapa hiyo kazi inafanyikaje, ni heka kumi kasoro kongowe soga
Vipo vingi tuVp naweza pata kiwanja huko
kibaha watu wanajilimia ufuta...karibuni viwanja na mashamba.View attachment 1430193
Anzisha group LA WhatsApp na Telegram watu serious tujiungeKwa mahitaji ya Viwanja na mashamba kwa Pwani na Dar Es Salaam tuwasiliane kwa 0755155782
Viwanja ni uhakika makubaliano yanafanyika Ofisini
Hongera sana kumiliki Shamba eneo potential mm soga kongoweOngea hapa hiyo kazi inafanyikaje, ni heka kumi kasoro kongowe soga
AsanteeeeHongera sana kumiliki Shamba eneo potential mm soga kongowe
WakwereNina shida, nina shamba heka 10 nataka lisafishwe bila usumbufu kuna kampuni inayofanya hiyo kazi? Watu binafsi wamenishinda