Shamba linauzwa Ismani - Iringa

Shamba linauzwa Ismani - Iringa

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
370
Reaction score
296
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji shamba wasiliana nami kuanzia Ekari 1 hadi Ekari 40 utapata.

Wekeza Ukanda wa Ismani hutojutia kabisa.

0765002532
 
Back
Top Bottom