ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Barabara zinafika mpaka shambani. Wanalima zaidi mahindi, ila ni ardhi ambayo inakubali zao lolote lile.Mkuu ni umbali gani toka wilayani? Barabara zinafika shambani? Maji yako umbali gani? Maeneo hayo wanalima nini zaidi?
Halijalimwa kwa takribani miaka mitatu. Haliko mbali sana na barabara.lina vichaka au ulikuwa unalima? lipo mbali sana barabara?
ThanksAll the Best
Ndiyo mkuu. Vipo visima vifupi na virefu vimechimbwa maeneo hayo kulingana na mahitaji yao ya matumiziKuna watu jirani walishawihi kuchmba maji hapo? Vp umbali wa maji unaweza kuchmba kwa mkono?
Vipo vinavyochimbwa kienyeji na kutumia mashine za kisasaWAMETUMIA NN
je lina hati zozote? mie nipo tayari kununua maana nina shamba pia kule kidelekoShamba linapatikana Kijiji cha Kwa Msangazi, Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga.
Shamba lina rutuba ya kutosha halihitaji mbolea ya aina yoyote ile kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara, halikadhalika linafaa kwa shughuli za ufugaji.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 16 na kila Ekari moja inauzwa kwa gharama ya Tshs. 400,000/=.
Shamba ni mali yangu binafsi na hakuna udalali. Kwa wateja serious karibu PM tufanye biashara.
NB: Shamba linauzwa lote ama Ekari zisizopungua 10
Hati ipo. Inayotumika ni ile hati ya kutoka ofisi ya Mtendajije lina hati zozote? mie nipo tayari kununua maana nina shamba pia kule kideleko
Hakuna ndugu. Ondoa shaka juu ya hiloHalina mauzauza yoyote? Maana nimeona umeandika lipo handeni!
Sold outBado lipo?