Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa ajili ya ufugaji.. Maji yapo ya kutosha mwaka mzima.
Hilo eneo kwa sasa linauzwa... Kwa ambae anahitaji tafadhali tuwasiliane.
0743 668990
Hilo eneo kwa sasa linauzwa... Kwa ambae anahitaji tafadhali tuwasiliane.
0743 668990