Plot4Sale Shamba linauzwa

Plot4Sale Shamba linauzwa

dotdot

Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
75
Reaction score
19
Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa ajili ya ufugaji.. Maji yapo ya kutosha mwaka mzima.

Hilo eneo kwa sasa linauzwa... Kwa ambae anahitaji tafadhali tuwasiliane.
0743 668990
 
Naona hii namba umeweka haipokelewi
 
Shamba zuri kweli naona kule kwa pembeni kuna sehemu ya kuegeshea magari.

MGC
 
Habari wana jf, poleni na majukumu.. Nina eneo langu mwasonga, kigamboni lina ukubwa wa ekari 1.5 nimejenga nyumba ya vyumba viwili pamoja na mabanda ya kufugia.hapo awali nilikua nalitumia kwa ajili ya ufugaji.. Maji yapo ya kutosha mwaka mzima.

Hilo eneo kwa sasa linauzwa... Kwa ambae anahitaji tafadhali tuwasiliane.
0743 668990
UZA
 
Back
Top Bottom