Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
- Thread starter
-
- #21
Ukitaka ata picha Mia mbili unapata,ila mtu anavyokuambia hawezi kuattach kwa muda huo na anaweza kukutumia kwa whatsup, inapaswa uelewe ,mazingira , browser,network kwa muda huo .n.kAweke picha hapa za huo mto. Haiwezekani aseme anashindwa.
Ndio mkuu ,nipigieBado lipo?
Mimi nataka kama heka 30 lakini bei ipungue bossShamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali mahindi,matikiti,nanasi,mihogo,alizeti,ufuta,mitikiti,Nazi,migomba,embe ,michugwa n.k.
Mawasiliano :0693786080
Iko pazuriFafanua....plz.miono ipo wilaya ganii...umbali kutoka stend kuu..... Shanna NI lako au serial ya kijiji.....na mengineyo
nipigie mkuuMimi nataka kama heka 30 lakini bei ipungue boss
unaingilia Mandela, km 9Umbali gani kutoka barabara kuu ya lami chalinze segera, na unaingilia kijj gan
yes mkuu, na ukiwa mandela kwa daladala 1000 .hakuna haja ya pikipikiMiono ipo hivi.
Kama ni mkazi wa Dar/Moro na mikoa mingineyo ukiacha ya Kaskazini
Unaenda mpaka WAMI - unafuatia MANDELA. Hapo unashuka unadaka boda boda kuelekea njia ya mbuga ya Saadani ni wastani wa 8-10km hivi (sina hakika sana ila boda huwa ni 4000-5000)
Ila pia kwa wakazi wa Dar na Tanga zipo gari za moja kwa moja
Nilisahau hiyo.yes mkuu, na ukiwa mandela kwa daladala 1000 .hakuna haja ya pikipiki
basi mwenyeji kabisaNilisahau hiyo.
Nimekaa sana hapo Hondogo na Mandazingara kabla ya kufka mkange. [emoji846]
kuna eka bado zipo mkuu,nichekiShamba bado lipo kiongozi?