Plot4Sale Shamba linauzwa

Plot4Sale Shamba linauzwa

Aweke picha hapa za huo mto. Haiwezekani aseme anashindwa.
Ukitaka ata picha Mia mbili unapata,ila mtu anavyokuambia hawezi kuattach kwa muda huo na anaweza kukutumia kwa whatsup, inapaswa uelewe ,mazingira , browser,network kwa muda huo .n.k
 

Attachments

  • tmp-cam-4914007793037433405.jpg
    tmp-cam-4914007793037433405.jpg
    28.3 KB · Views: 16
Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali mahindi,matikiti,nanasi,mihogo,alizeti,ufuta,mitikiti,Nazi,migomba,embe ,michugwa n.k.
Mawasiliano :0693786080
Mimi nataka kama heka 30 lakini bei ipungue boss
 
Umbali gani kutoka barabara kuu ya lami chalinze segera, na unaingilia kijj gan
 
Miono ipo hivi.

Kama ni mkazi wa Dar/Moro na mikoa mingineyo ukiacha ya Kaskazini

Unaenda mpaka WAMI - unafuatia MANDELA. Hapo unashuka unadaka boda boda kuelekea njia ya mbuga ya Saadani ni wastani wa 8-10km hivi (sina hakika sana ila boda huwa ni 4000-5000)

Ila pia kwa wakazi wa Dar na Tanga zipo gari za moja kwa moja
yes mkuu, na ukiwa mandela kwa daladala 1000 .hakuna haja ya pikipiki
 
Back
Top Bottom