Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 432
- 703
Embu niunganishe nipate hayo ya laki moja kwa ekari.. nitaka ekari 5..AsanteHuko miono hata laki/ekari unapata.Mashamba pori ya kumwaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu niunganishe nipate hayo ya laki moja kwa ekari.. nitaka ekari 5..AsanteHuko miono hata laki/ekari unapata.Mashamba pori ya kumwaga.
Nicheki kwenye 0693786080Embu niunganishe nipate hayo ya laki moja kwa ekari.. nitaka ekari 5..Asante
Nina laki na nusuShamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali mahindi,matikiti,nanasi,mihogo,alizeti,ufuta,mitikiti,Nazi,migomba,embe ,michugwa n.k.
Mawasiliano :0693786080
Karibu bossNina laki na nusu
Nataka shamba
Karibu bossNina laki na nusu
Nataka shamba
Hv kutoka pale wami mandera mpaka miono centre daladala zipo ...yes mkuu, na ukiwa mandela kwa daladala 1000 .hakuna haja ya pikipiki
Usafiri wa uma (daladala) upo?Nilisahau hiyo.
Nimekaa sana hapo Hondogo na Mandazingara kabla ya kufka mkange. [emoji846]
Zipo daladala zinazotoka dar,bagamoyo,msata na chalinze,zinaingia mpaka miono
Kwenda kwasunga ndo hakuna daladala abiria wakiwa wengi ndo Kuna kua noahHv kutoka pale wami mandera mpaka miono centre daladala zipo ...
Na kutoka miono centre kwenda kwasunga daladala zipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa kutoka miono mpaka kwasunga bodaboda inaweza kuwa sh ngap na Barabara inapitika vizuriKwenda kwasunga ndo hakuna daladala abiria wakiwa wengi ndo Kuna kua noah
3000 mpka kwa sunga,kwa Noah 1000Anhaa kutoka miono mpaka kwasunga bodaboda inaweza kuwa sh ngap na Barabara inapitika vizuri
Na wakitumia Noah nauli inakua sh ngap
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ...Nna mpango wa kununua Shamba kwasunga ..Nimeambiwa kutoka hapo Miono mpaka kwasunga ni 15km ....Asante kwa taarifa inatia moyo3000 mpaka
3000 mpka kwa sunga,kwa Noah 1000