INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

Joined
Jun 22, 2022
Posts
38
Reaction score
15
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe ,banda la mbuzi.

Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya Tani 300),nyumba ya mashine na ,nyumba ya wafanyakazi(wiring imefanywa ya umeme na application tayari). Bei ni million 120 na trekta ni milion 15 jumla ya vitu vyote vilivyopo shambani ni milion 135

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929

IMG-20220411-WA0011.jpg
IMG-20220411-WA0013.jpg
IMG-20220411-WA0010.jpg
IMG-20220411-WA0008.jpg
IMG-20220411-WA0009.jpg
IMG_20220418_160926_076.jpg
 
Safi sana mkuu, sema tatizo pesa ila hii mtu akiwekeza atapiga sana pesa mbele
 
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe ,banda la mbuzi.

Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya Tani 300),nyumba ya mashine na ,nyumba ya wafanyakazi(wiring imefanywa ya umeme na application tayari). Bei ni million 120 na trekta ni milion 15 jumla ya vitu vyote vilivyopo shambani ni milion 135

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929

View attachment 2269393View attachment 2269394View attachment 2269396View attachment 2269397View attachment 2269398View attachment 2269399
 
Shamba lenye parachichi linauzwa
Lipo Kijiji cha Iyembela kata ya matembwe ktk halmashauri ya wilaya ya Njombe, mkoani Njombe
Lina ukubwa wa eka 10.

Parachichi zina umri wa miaka 2 na nusu.

Bei ni tsh milioni 25.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570

Barabara inafikika na maji ya mto yapo karibu kabisa.

IMG_20220614_133833_350.jpg
IMG_20220614_135007_336.jpg
IMG_20220614_134100_784.jpg
IMG_20220614_135216_092.jpg
IMG_20220614_133926_922.jpg
 
Hali imeyumba kidogo sio km mwanzo
Ilikua ni suala la muda tu..parachichi ifuate njia ile ile iliyipitia pamba korosho na mazao mengine chini ya utawala huu wa chama cha mashetani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shamba linauzwa
Lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe
Lina ukubwa wa eka 50
Bei ya kila eka ni tsh laki moja na Elfu hamsini tu (150,000)
Linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao na mazao mengine
Maji ya mto yapo karibu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929

IMG_20211217_114714_635.jpg
 
Back
Top Bottom