INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe ,banda la mbuzi.

Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya Tani 300),nyumba ya mashine na ,nyumba ya wafanyakazi(wiring imefanywa ya umeme na application tayari). Bei ni million 120 na trekta ni milion 15 jumla ya vitu vyote vilivyopo shambani ni milion 135

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929

View attachment 2269393View attachment 2269394View attachment 2269396View attachment 2269397View attachment 2269398View attachment 2269399
Hilo trekta linafanya kazi? Je lina mpini na majembe yake?
 
Shamba linauzwa
Lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe
Lina ukubwa wa eka 100
Bei ya kila eka tsh 150000/= ( laki moja na Elfu hamsini)
Maji ya mto yapo karibu
Linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao na mazao mengine
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0711605670

IMG_20220713_115109_776.jpg
IMG_20220713_115249_883.jpg
IMG_20220713_115249_883.jpg
 
Mfiriga , Iko upande gani? Unapita Barazani?
Ni Km ngapi kutoka Njombe mjini?
 
Back
Top Bottom