INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

Shamba linauzwa
Lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe
Lina ukubwa wa eka 50
Bei ya kila eka ni tsh laki moja na Elfu hamsini tu (150,000)
Linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao na mazao mengine
Maji ya mto yapo karibu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929View attachment 2275333
Mmeanza kuuza vilima! Mmh!
 
Back
Top Bottom