pangatulale makoga
Member
- Jun 22, 2022
- 38
- 15
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe ,banda la mbuzi.
Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya Tani 300),nyumba ya mashine na ,nyumba ya wafanyakazi(wiring imefanywa ya umeme na application tayari). Bei ni million 120 na trekta ni milion 15 jumla ya vitu vyote vilivyopo shambani ni milion 135
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929
View attachment 2269393View attachment 2269394View attachment 2269396View attachment 2269397View attachment 2269398View attachment 2269399
Amechoka kusubiri.Shamba ni zuri Sana ndg mbona umeamua kuliuza
Hali imeyumba kidogo sio km mwanzoNaomba kuuliza,
Kwa Sasa kilimo Cha parachichi bado kinalipa? Isije kuwa soko ni changamoto
Ccm inaua ushirika zao hili kwisha habari yakeNaomba kuuliza,
Kwa Sasa kilimo Cha parachichi bado kinalipa? Isije kuwa soko ni changamoto
Ilikua ni suala la muda tu..parachichi ifuate njia ile ile iliyipitia pamba korosho na mazao mengine chini ya utawala huu wa chama cha mashetani.Hali imeyumba kidogo sio km mwanzo
Kuna changamoto ya uendeshaji Kuna sehemu yenye shamba jingine mtaji ni mdogoShamba ni zuri Sana ndg mbona umeamua kuliuza.
Kuna changamoto ya uendeshaji kwani Kuna shamba jingine kubwa zaidi kwa hiyo mtaji ni mdogoAmechoka kusubiri.
Ni kweli umebaki muda kidogo, lakini Kuna shamba jingine kubwa zaidi linahitaji huduma na fedha imekuwa changamotokwann asisubir mbona kabakiza mkia tu
Soko kwa hivi kalibuni halijawa sawa Sana,lakiniNaomba kuuliza.
Kwa Sasa kilimo Cha parachichi bado kinalipa? Isije kuwa soko ni changamoto