INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

Unauza ukoo mzima, nyie mnahamia wapi sasa? Bei nzuri tatizo pesa tu, all the best
 
Hilo trekta linafanya kazi? Je lina mpini na majembe yake?
 
Shamba linauzwa
Lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe
Lina ukubwa wa eka 100
Bei ya kila eka tsh 150000/= ( laki moja na Elfu hamsini)
Maji ya mto yapo karibu
Linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao na mazao mengine
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0711605670

 
Mfiriga , Iko upande gani? Unapita Barazani?
Ni Km ngapi kutoka Njombe mjini?
 
Ni km ngapi kutoka main road. Na je unauza zote 100 kwa pamoja au unaweza kuuza hata 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…