Shambulio jipya la kigaidi laikumba uwanja wa ndege Saudi Arabia, mtu mmoja amefariki dunia

Shambulio jipya la kigaidi laikumba uwanja wa ndege Saudi Arabia, mtu mmoja amefariki dunia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205

Shambulio jingine baya limeikumba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid, uliopo Riyadh, Saudi Arabia, huku kukiwa na uwezekano wa Marekani kuingia zaidi katika mgogoro huo.

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia shambulio jipya lililolenga uwanja huo wa ndege, siku moja tu baada ya shambulio la kombora la Wahouthi kuua watu 13, akiwemo raia mmoja wa Marekani, na kujeruhi zaidi ya watu 300.

Waasi hao wanaoungwa mkono na Iran sasa wanazionya kampuni za ndege na wasafiri kujitenga na viwanja vya ndege pamoja na anga la Saudi Arabia, isipokuwa tu kwa ajili ya Makka na Madina.

Rais Trump anasema Marekani inaweza kuungana na Saudi Arabia katika kuanzisha mashambulio dhidi ya Wahuthi

Soma Pia:
==================
Another deadly strike hits Saudi Arabia's busiest airport, and now the U.S. could be drawn deeper into the conflict.At least one person is dead and multiple people are injured after a new attack strikes Riyadh's King Khalid International Airport, just one day after a Houthi missile strike killed 13 people, including an American, and wounded more than 300.

The Iranian-backed rebels are now warning airlines and travelers to stay out of Saudi airports and airspace, with exceptions for Mecca and Medina.President Trump says the U.S. may join Saudi Arabia in launching strikes against the Houthis
 
Houthi wacha wapeleke MOTO mpaka mwenye mbwa ajitokeze Shubamit

Kwasasa Dunia inaenda kasi sana
Dunia inachangamka
kweli kweli !!!

Piga tu Vibalaka wote!!!!
 
Vyuma vimeumana!

Wazungu wamezidiwa kitechnology
na wenzao
kwakweli Vibalaka wote kwasasa wanaishi kwa wasiwasi sana!!

Tegemea lao lilikuwa Marekani!!!!

Uyo Marekani mwenyewe kapelekewa MOTO kwasasa wamechoka hoi

Trump anapiga kelele tu za kwenda kusaidia
Wkt mwenyewe kabanwa na Uchaguzi wa November 3

Anaogopa wasije kupigwa tukio zaidi wakakosa kura zaidi!!!!

Na Iranian wanajua huu ndio muda mzuri wa kumchapa Kibalaka wa Marekani Saudi Arabia

Trump anaumia lkn!!
atabaki kutoa
Matamko tu 😀 😀 😀
 
Nanani ikiwa Marekani mwenyewe Kuchezea kichapo

Israel kachezea kichapo

Iranian wanatisha Mjomba!!!
Bro unamjua Israel? Hao sio marekani Israel anapiga mpaka dunia nzima mnaanza kulaani kipigo anachotoa. marekani anapiga uku analinda reputation yake ila Israel Hao wahouth wanamjua vizuri alipiga moto ukawaka middle East yote wanauona

Hajari Kuna wazee watoto mama wajawazito vilema akiamu kupeleka moto hana sheria sijui za kimataifa hamas Iran hezbollah na houth wote walianza kulia jumuia ya kimataifa hii sio vita ni genocide
 
Eti shambulio la kigaidi!! Yaani US ilipoua watoto 200 wa shule ya awali haikuitwa ugaidi ila wakifanya houthi ndio ugaidi??

So much bias na hizi media
 
marekani anapiga uku analinda reputation yake
Lini marekani kalinda reputation? Kaua watoto zaidi ya 500 huko iran kwa kulenga shule na hospitali ya kansa ya watoto alafu unasema analinda reputation? Hii propaganda sijui mnatoa wapi.
ila Israel Hao wahouth wanamjua vizuri alipiga moto ukawaka middle East yote wanauona
Israel alipiga wahouthi alafu bado wahouthi wakawa anaongoza nchi?? Au mimi ndio sielewi maana ya kupigwa??

Wahouthi waliblock meli za Israel kupita baab al mandeb na hakuna kitu Israel walifanya.

Mnapenda sana kuwakuza Israel ilihali mission zao zote huwa zinafanywa kwa msaada wa USA.
 
Eti shambulio la kigaidi!! Yaani US ilipoua watoto 200 wa shule ya awali haikuitwa ugaidi ila wakifanya houthi ndio ugaidi??

So much bias na hizi media
bbc.jpg
 

Shambulio jingine baya limeikumba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid, uliopo Riyadh, Saudi Arabia, huku kukiwa na uwezekano wa Marekani kuingia zaidi katika mgogoro huo.

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia shambulio jipya lililolenga uwanja huo wa ndege, siku moja tu baada ya shambulio la kombora la Wahouthi kuua watu 13, akiwemo raia mmoja wa Marekani, na kujeruhi zaidi ya watu 300.

Waasi hao wanaoungwa mkono na Iran sasa wanazionya kampuni za ndege na wasafiri kujitenga na viwanja vya ndege pamoja na anga la Saudi Arabia, isipokuwa tu kwa ajili ya Makka na Madina.

Rais Trump anasema Marekani inaweza kuungana na Saudi Arabia katika kuanzisha mashambulio dhidi ya Wahuthi

Soma Pia:
==================
Another deadly strike hits Saudi Arabia's busiest airport, and now the U.S. could be drawn deeper into the conflict.At least one person is dead and multiple people are injured after a new attack strikes Riyadh's King Khalid International Airport, just one day after a Houthi missile strike killed 13 people, including an American, and wounded more than 300.

The Iranian-backed rebels are now warning airlines and travelers to stay out of Saudi airports and airspace, with exceptions for Mecca and Medina.President Trump says the U.S. may join Saudi Arabia in launching strikes against the Houthis

Kwaiyo Saudi Arabia kupiga Yemen maeneo mbali mbali sio Ugaidi

Lkn Saudi Arabia akipigwa yeye ndio Ugaidi !!!

Kweli Haki Mbinguni Duniani tunapita tu.!!!!
 
Back
Top Bottom