Alieaza kuwaua waislam nu saudi kwa kuwawekea mzingiro kuwashambulia wa huth.. kwa hiyo kama ni kushangaa ungeanzia hapoUnaweza kukuta aliyetekeleza shambulio hilo naye ni muislamu huku akiwaua waislamu wenzake pia 🙌
Alieaza kuwaua waislam nu saudi kwa kuwawekea mzingiro kuwashambulia wa huth.. kwa hiyo kama ni kushangaa ungeanzia hapoUnaweza kukuta aliyetekeleza shambulio hilo naye ni muislamu huku akiwaua waislamu wenzake pia 🙌
Marekan hatkaa akubali muungano wowote wa kiarabu unaweza kuidhuru usaWaarabu wangeungana wangekuwa na nguvu sana.
Kwanini uue ndugu katika Imani?Alieaza kuwaua waislam nu saudi kwa kuwawekea mzingiro kuwashambulia wa huth.. kwa hiyo kama ni kushangaa ungeanzia hapo
Ndiyo nashangaa, how comes waue ndugu zao katika Imani?Muislamu ataua Muislamu lawama watapewa Makafir.
Sijapenda hao jamaa kuishambulia Saudia, wakati wanajua tunao ndugu zetu wanaenda ibada kule (Mji mtakatifu)Kwann wakipagana waarabu unaiingiza dini lakin kule Ukraine na urusi uingizi, au nyiny makafiri kuuana ni jambo limerihusiwa?
Kwanini hao jamaa washambulie mji mtakatifu? Tunao ndugu zetu kule wanaenda HijjaKwani Russia w Ukristo na Ukraine w Ukristo wanacheza midundiko kule!!!!!
Ivi unajua kufikia sasa Wamekufa Wakristo wangapi kule !!!!!?????
Hyo Saudi ikichakazwa na kubaki majivu utaend wapi kuhij ww mzanzibari?Wazungu wanezidia kitechnology na wenzao kwakweli Vibalaka kwasasa wanaishi kwa wasiwasi sana!!
Tegemea lao lilikuwa Marekani!!!!
Uyo Marekani mwenyewe kapelekewa MOTO kwasasa wamechoka hoi
Trump anapiga kelele tu za kwenda kusaidia
Wkt mwenyewe kabanwa na Uchaguzi wa November 3
Anaogopa wasije kupigwa tukio zaidi wakakosa kura zaidi!!!!
Na Iranian wanajua huu ndio muda mzuri wa kumchapa Kibalaka wa Marekani Saudi Arabia
Trump anaumia lkn!!
atabaki kutoa
Matamko tu 😀 😀 😀
Muislamu ataua Muislamu lawama watapewa Makafir.
Hyo Saudi ikichakazwa na kubaki majivu utaend wapi kuhij ww mzanzibari?
Kwanini hao jamaa washambulie mji mtakatifu? Tunao ndugu zetu kule wanaenda Hijja
Vyovyote iwavyo, sipendi kuona vita maana ni binadamu wenzetu wanaouawa, haijalishi ni Wakristo ama Waislamu
Kama hakuna mashambulizi kwenye miji mitakatifu ni jambo zuri, maana tuna ndugu zetu huko wanakwenda Kila leo kuhijjHakuna mji MTAKATIFU umepigwa na Houthi wenyewe walishatoa Tamko kwamba hawawezi kupiga Miji mitakatifu lkn
wao ndio walinzi wa maeneo MATAKATIFU
Tatizo lenu nyinyi mnataka kujua habari za upande mmoja tu
Lkn jaaa Houthi wastaarabu sana wanasema kabisa kabla ya tukio
Sasa wewe ukiwa na Air Defense kutokea Marekani au Israel basi unajiona nchi ipo Salama
Defense yao mbovu
bidhaa zao machujio kitechnology washadhidiwa na Mwamba Iranian!!
Military Base za Marekani zimefanywa nini
Israel yenyewe wameikimbia Vita baada kula kipondo cha mwana ukome !!!
Iranian ni Baba yao