Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Vita inazidi kuvimba badala ya kusinyaaAisee Wahouthi watapewa kichapo kibaya sana.
IranWahouth wametoa wapi hiii tekinolojia
Unaweza kukuta aliyetekeleza shambulio hilo naye ni muislamu huku akiwaua waislamu wenzake pia 🙌
Vyuma vimeumana!
Aisee Wahouthi watapewa kichapo kibaya sana.
Bro unamjua Israel? Hao sio marekani Israel anapiga mpaka dunia nzima mnaanza kulaani kipigo anachotoa. marekani anapiga uku analinda reputation yake ila Israel Hao wahouth wanamjua vizuri alipiga moto ukawaka middle East yote wanauonaNanani ikiwa Marekani mwenyewe Kuchezea kichapo
Israel kachezea kichapo
Iranian wanatisha Mjomba!!!
Kwann wakipagana waarabu unaiingiza dini lakin kule Ukraine na urusi uingizi, au nyiny makafiri kuuana ni jambo limerihusiwa?Unaweza kukuta aliyetekeleza shambulio hilo naye ni muislamu huku akiwaua waislamu wenzake pia 🙌
Lini marekani kalinda reputation? Kaua watoto zaidi ya 500 huko iran kwa kulenga shule na hospitali ya kansa ya watoto alafu unasema analinda reputation? Hii propaganda sijui mnatoa wapi.marekani anapiga uku analinda reputation yake
Israel alipiga wahouthi alafu bado wahouthi wakawa anaongoza nchi?? Au mimi ndio sielewi maana ya kupigwa??ila Israel Hao wahouth wanamjua vizuri alipiga moto ukawaka middle East yote wanauona
Muislamu ataua Muislamu lawama watapewa Makafir.Unaweza kukuta aliyetekeleza shambulio hilo naye ni muislamu huku akiwaua waislamu wenzake pia 🙌
Eti shambulio la kigaidi!! Yaani US ilipoua watoto 200 wa shule ya awali haikuitwa ugaidi ila wakifanya houthi ndio ugaidi??
So much bias na hizi media
Shambulio jingine baya limeikumba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid, uliopo Riyadh, Saudi Arabia, huku kukiwa na uwezekano wa Marekani kuingia zaidi katika mgogoro huo.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia shambulio jipya lililolenga uwanja huo wa ndege, siku moja tu baada ya shambulio la kombora la Wahouthi kuua watu 13, akiwemo raia mmoja wa Marekani, na kujeruhi zaidi ya watu 300.
Waasi hao wanaoungwa mkono na Iran sasa wanazionya kampuni za ndege na wasafiri kujitenga na viwanja vya ndege pamoja na anga la Saudi Arabia, isipokuwa tu kwa ajili ya Makka na Madina.
Rais Trump anasema Marekani inaweza kuungana na Saudi Arabia katika kuanzisha mashambulio dhidi ya Wahuthi
Soma Pia:
==================
- Magaidi wa Houth waikoromea Saudi Arabia
- Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia washambuliwa na ndege 2 zisizo na rubani
Another deadly strike hits Saudi Arabia's busiest airport, and now the U.S. could be drawn deeper into the conflict.At least one person is dead and multiple people are injured after a new attack strikes Riyadh's King Khalid International Airport, just one day after a Houthi missile strike killed 13 people, including an American, and wounded more than 300.
The Iranian-backed rebels are now warning airlines and travelers to stay out of Saudi airports and airspace, with exceptions for Mecca and Medina.President Trump says the U.S. may join Saudi Arabia in launching strikes against the Houthis