Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.
Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko ya ghafla ya kiuongozi na kupata msimamizi mpya asie na uzoefu na kazi ile... Haya mabadiliko yalifanyika purposely kwa tukio hilo.
Idara zote duniani ziwe makini.