sema vatican siyo italyKuna watu Kwa tukio lile wamepoteza ndoto zao kuwa Wapangaji kwenye lile jengo jeupe maana umri unaenda
Na bahati mbaya Kwa mujibu wa taratibu ambazo sio rasmi, akitoka wa Makkah anafuata ni wa Italy
Hakika Mkuu, shukranisema vatican siyo italy
1. India, Kashmir terror attack.Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.
Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko ya ghafla ya kiuongozi na kupata msimamizi mpya asie na uzoefu na kazi ile... Haya mabadiliko yalifanyika purposely kwa tukio hilo.
Idara zote duniani ziwe makini.
Aliyeelewa hii Future+ Future+ Past anieleweshe tafadhali, mi imenivueiga.Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.
.
Kwanini kitengo cha malazi ya wageni kilaumiwe hasa huyu mtumishi mpya?Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.
Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko ya ghafla ya kiuongozi na kupata msimamizi mpya asie na uzoefu na kazi ile... Haya mabadiliko yalifanyika purposely kwa tukio hilo.
Idara zote duniani ziwe makini.
Profesa lwaitama kasem kaota kuna kiongozinmkubwa sana wa afrika atafariki ...Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.