Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel


Mtu mzima kakandwa kiutu uzima kapigwa kwenye maeneo muhimu kajionea hasara kamute.
Ninavyowajua Waislamu wa Iran tayari wangeshatoa tamko la kulipiza.
Nimepitia media nyingi sijaona mtu mzima kama anaongelea retaliation.
Hilo ni jambo tosha la kukuonesha kuwa mtu mzima kachapika kwenye maeneo yake muhimu na uwezo wa kulipiza hana tena.
Uzuri wa myahudi akishatandika anajikalia zake kimya wala haitaji kuonesha video.
Ila kwa ujumla Iran kawa incapacitated kijeshi kimya kimya
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-26-20-21-36-076_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2024-10-26-20-21-36-076_com.twitter.android.jpg
    219.9 KB · Views: 3
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu kulifanya.

Hata kule Lebanon, mashambulio mengi yamekuwa ya kutumia ndege, nako haijawahi kusikika Hezbollah kufanikiwa kuangusha hata ndege moja.

Hata ule mwezi April, Israel ilipoishambulia Iran, ilitumia ndege, na kuteketekeza mtambo mmoja wa ulinzi wa anga wa Iran (Iran kwa aibu ikasema walitumia drones ili kuficha udhaifu wa jeshi lake - ilikuwaje ndege iingie kwenye anga lake, ishambulie na kurudi salama).

Shambulio la alfajiri ya leo, Israel inasema lilikuwa ni kwa vituo vya shughuli za kijeshi pekee, na ilikuwa ni precise strike. Hii inatupa ujumbe. kuwa kama Hezbollah na Hamas wasingekuwa wanafanya ule ushetani wa kujificha katikati ya nraia au kuishambulia Israel kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia, kusingekuwa na mauaji ya raia ya kiwango tulichoshuhudia Gaza au Lebanon.

Kwa sababu vituo vya shughuli za kijeshi vya Iran vimejitenga na makazi na shughuli za kiraia, precise targeting ya IDF kwa vituo vya shughuli za kijeshi nchini Iran, havijaleta madhara yoyote kwa raia wa kawaida.

Ni vema Dunia ikaweka mwongozo na sheria kali kuharamisha shughuli zozote za kijeshi kutokea kwenye makazi au shughuli za kiraia. Kitendo wanachokifanya Hamas na Hezbollah, cha kujificha katikati ya watoto, akina mama na raia ni cha kishetani kinacholenga kuwaangamiza raia. Ikitokea hawa magaidi wanaweka miundombinu yao katikati ya makazi ya kiraia, raia waruhusiwe kuyakimbia maeneo hayo. Tunaambiwa huko Gaza, Hamas wakiweka miundombinu ya kijeshi kwenye nyumba yako au karibu na makazi yako, ukitaka kuhama hilo eneo, wanakuua. Jambo hili siyo halali hata kidogo.

ALjAZEERA

Iran says two soldiers killed in Israeli strikes on military bases.​

The Iranian army said two soldiers have been killed in Israeli air strikes that targeted military bases, after Israel said it had “completed” its attack and warned against any retaliation.
Hiv Yale machumachuma ya Russia s400 aliopewa Iran ili azuie shambulio la Israel yalikuwa yamezimwa?[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili ya kawaida msifikiri Iran atakubali kwamba amepata madhara , kama mnaozoefu na hawa watu ,huwa hawakubaligi weakness mpaka maji yakiwa shingoni , but for my view Kwa shambulizi hili wanaugulia maumivu makali ndani Kwa ndani, sema ndio hivyo mambo ya kijeshi ndani yake kunakuwa na usiri mkubwa mno Ili usimpe adui yako nguvu otherwise watu wamepigwa 🛠️
 
ndenge zinauwezo wa KUhit target kuliko ayo makombora wa IRAN watuambie wameweza kuzidungua ndege ngapi za ISRAEL
Unaugua wewe.
Kombora lipo accurate na linaleta damage kubwa sana katika target.
Achana na kitu kinaitwa kombora.
 
Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Unafikiri ni muvi ya James Bond iyo. Israel wana mitambo ya kutrack kila kitu ndio maana wewe unapata kuona kinachotokea. Sasa Iran hawana mitambo ya kiwango icho ya kutrack kila kitu wanachojua ni kulipua tuuuu
 
Nakuhakikishia Iran haiwezi kutuma ndege zake moja kwa moja hadi Israel, makombora tu yalishushwa yote hizo ndege zitadondoshwa zikiwa hapo iraq
Kwanza izo ndege, watatumia za Russia 🇷🇺 au China 🇨🇳. Na zenyewe wanaziblock zinashindwa kuruka pia
 
Unafikiri ni muvi ya James Bond iyo. Israel wana mitambo ya kutrack kila kitu ndio maana wewe unapata kuona kinachotokea. Sasa Iran hawana mitambo ya kiwango icho ya kutrack kila kitu wanachojua ni kulipua tuuuu
Video zimechukuliwa na watu wa kawaida mitaani na simu zao, usidanganye watu wazima hapa. Hao Israel ndio walikua wanaficha habari zisitoke tukawa tunaona live kwa wa Samaria wema mtaani.
 
Kwanza izo ndege, watatumia za Russia 🇷🇺 au China 🇨🇳. Na zenyewe wanaziblock zinashindwa kuruka pia
Uzi block ndege za Russia na China huo uwezo unautoa wapi!?
We jamaa ukishashiba makande huwa unaropoka sana.
Hayo mataifa ni GIANT FUSAS hata kwa USA vivyo hivyo vifaa vyao.
 
Ndege za marekani na Israel hazkuingia katika anga ya Iran . Km 100 kutoka border ya Iraq na Iran.. kumbuka Iraq anga inakaliwa na marekani
 
Back
Top Bottom