Shambulio la Israel Kwa Iran Limethibitisha Ubora Wa Jeshi la Anga la Israel

Mtu mzima kakandwa kiutu uzima kapigwa kwenye maeneo muhimu kajionea hasara kamute.
Ninavyowajua Waislamu wa Iran tayari wangeshatoa tamko la kulipiza.
Nimepitia media nyingi sijaona mtu mzima kama anaongelea retaliation.
Hilo ni jambo tosha la kukuonesha kuwa mtu mzima kachapika kwenye maeneo yake muhimu na uwezo wa kulipiza hana tena.
Uzuri wa myahudi akishatandika anajikalia zake kimya wala haitaji kuonesha video.
Ila kwa ujumla Iran kawa incapacitated kijeshi kimya kimya
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-26-20-21-36-076_com.twitter.android.jpg
    219.9 KB · Views: 3
Hiv Yale machumachuma ya Russia s400 aliopewa Iran ili azuie shambulio la Israel yalikuwa yamezimwa?[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili ya kawaida msifikiri Iran atakubali kwamba amepata madhara , kama mnaozoefu na hawa watu ,huwa hawakubaligi weakness mpaka maji yakiwa shingoni , but for my view Kwa shambulizi hili wanaugulia maumivu makali ndani Kwa ndani, sema ndio hivyo mambo ya kijeshi ndani yake kunakuwa na usiri mkubwa mno Ili usimpe adui yako nguvu otherwise watu wamepigwa πŸ› οΈ
 
ndenge zinauwezo wa KUhit target kuliko ayo makombora wa IRAN watuambie wameweza kuzidungua ndege ngapi za ISRAEL
Unaugua wewe.
Kombora lipo accurate na linaleta damage kubwa sana katika target.
Achana na kitu kinaitwa kombora.
 
Shambulizi la Iran tuliona live makombora mbona hili tu naambiwa tu maneno, ina maana hakuna hata ka video kamoja kakionesha hayo makombora?
Unafikiri ni muvi ya James Bond iyo. Israel wana mitambo ya kutrack kila kitu ndio maana wewe unapata kuona kinachotokea. Sasa Iran hawana mitambo ya kiwango icho ya kutrack kila kitu wanachojua ni kulipua tuuuu
 
Nakuhakikishia Iran haiwezi kutuma ndege zake moja kwa moja hadi Israel, makombora tu yalishushwa yote hizo ndege zitadondoshwa zikiwa hapo iraq
Kwanza izo ndege, watatumia za Russia πŸ‡·πŸ‡Ί au China πŸ‡¨πŸ‡³. Na zenyewe wanaziblock zinashindwa kuruka pia
 
Unafikiri ni muvi ya James Bond iyo. Israel wana mitambo ya kutrack kila kitu ndio maana wewe unapata kuona kinachotokea. Sasa Iran hawana mitambo ya kiwango icho ya kutrack kila kitu wanachojua ni kulipua tuuuu
Video zimechukuliwa na watu wa kawaida mitaani na simu zao, usidanganye watu wazima hapa. Hao Israel ndio walikua wanaficha habari zisitoke tukawa tunaona live kwa wa Samaria wema mtaani.
 
Kwanza izo ndege, watatumia za Russia πŸ‡·πŸ‡Ί au China πŸ‡¨πŸ‡³. Na zenyewe wanaziblock zinashindwa kuruka pia
Uzi block ndege za Russia na China huo uwezo unautoa wapi!?
We jamaa ukishashiba makande huwa unaropoka sana.
Hayo mataifa ni GIANT FUSAS hata kwa USA vivyo hivyo vifaa vyao.
 
Ndege za marekani na Israel hazkuingia katika anga ya Iran . Km 100 kutoka border ya Iraq na Iran.. kumbuka Iraq anga inakaliwa na marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…