USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka .
Hii unamaana kuwa jeshi hilo halina watu muhimu wa maamuzi ya kijeshi
USSR
Hii unamaana kuwa jeshi hilo halina watu muhimu wa maamuzi ya kijeshi
USSR