Shambulio la jana Hezbolah makamanda 16 wote waliokuwa kwenye kikao waliuwawa .

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka .

Hii unamaana kuwa jeshi hilo halina watu muhimu wa maamuzi ya kijeshi

USSR
 

Attachments

  • FB_IMG_1726931027288.jpg
    60.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…