Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi


Kaharibu biashara ya nani Mkuu......NI katika kuisafirisha ndio akatia mkono wake....Waulize Hizbollah walinunua kwa nani hizo Pager, mbona wako kimya.....Walimtafuta Dalali kumbe ni Myahudi......Inasemekana hata kuzipeleka Lebanon zilipelekwa na Iran........Jamaa zako wana akili fupi sana, inabidi warudi kwenye kutumia simu tu!ambazo wanajua wazi zitadukuliwa...!
 

Mkuu inaonekana kampuni ya Taiwan ilitoa leseni tu kwa Kampuni ya BAC ambayo iko Hungary, ukienda Hungary hiyo ofisi inashangaa na kusema huwa hai deal na mambo hayo! Nimecheka sana.......! Na Hata Walkie talk....Kampuni ya Japan inasema iliacha kutengeneza hiyo model miaka 10 iliyopita!....

Na ianasemakana pia kuna uwezekano Iran ndio alizibeba kimagendo kuzipeleka Lebanon! Israel kawapiga pesa....na kuwauzia sumu!
 
Vitukuu wa pedophile watapinga,Israel
Vitukuu vya pedophile watapinga,ala(Shetani) mwenyewe alimuomba Mungu huruma dhidi ya gadhabu ya wayahudi
 
Huyo pedophile aliyezikwa na kuoza hiyo mbingu kafika lini,wakati kila uchwa mnamswali? Dini na ujinga ni janga kwa dunia.
 
We bwege hizo Pager sio Hezbullah alifanya hizo order direct, walio fanya ni Iraq inawezekana wa Iraq ndio walitoa siri hizo kuwa za Hezbullah. Unacho ongea wewe ni uwongo mtupu. Iran hakuhusika na hizo pager pia kunawanafiki kule Lebanon wameisha tiwa mkonon, ndio Israel alikuwa anawatumia. We tulia sa uonne Israel watakavyo pokea kichapo ndio mtamjua Hezbullah si wakuchezewa.
 
Acha kututisha wewe, unaona msikiti tu mengine huoni si ndio
 
Mkuu soma vzr na uelewe ipo hv, hezbolla walinunua hzo pagers na kuwapa wafuasi wake watumie na sio wananchi wa kawaida. So waliokufa na kujeruhiwa ni wana kundi la hizzibolla unless mwana kikundi awe amekaacha home watoto wanakatumia
 
Mkuu soma vzr na uelewe ipo hv, hezbolla walinunua hzo pagers na kuwapa wafuasi wake watumie na sio wananchi wa kawaida. So waliokufa na kujeruhiwa ni wana kundi la hizzibolla unless mwana kikundi awe amekaacha home watoto wanakatumia
Ipashe hii Maislamists maana inapelekshwa kwa hisia zao tu zilizo jazwa uongo waQuran
 
Mudi huyu aliyekuwa anabaka watoto wa miaka 9?
 
Hata ashuke marehemu Mohamed hawezi saidia kitu Hezbullah lazima wachake yeye na washirika wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…