Hassan Nasrallah alipitisha azimio kuwa mawasiliano yote ya washiriki wa kikundi hicho na pia baina yao na washirika wao yasiwe kwa simu za kawaida kwa kwani Israel watayadaka. Pagers zinaaminika kwa kutoweza kuwa hacked.
Inavyoelekea Israel kwa kuona mbali, wakajipenyeza kwa watengenezaji wa hizo pagers kiasi kwa kukawa na batch fulani tu ambapo walipandikiza kifaa ambacho kwa kupokea signal fulani ya kipekee kitapandisha joto la batteries za pagers hizo na kulipuka.
Aidha, Israel wakafanikiwa kuhack pagers hizo na kustudy messages walizokuwa wakitumiana. Leo hii ndipo Israel wakatuma message ambayo Hezbullah hawakuihisi kuwa siyo yao wao Hezbullah. Ndiyo maana wengine kifaa hicho kiliwalipukia usoni wengine mkononi. Kuna ambao kutokana na eneo walilokuwepo walishindwa kukitoa kifaa hicho eneo la kiunoni au mfukoni mapema hivyo kiliwalipukia kikiwa kiunoni.
Vile vile kama kweli ni Israel waliofanya shambulio hili, ni uthibitisho mwingine kuwa ktk vita hivi waisrael tofauti na waislam wao wanajitahidi sana kutumia technolojia ili mashambulizi yao yalenge magaidi wa kiislam tu bila ya kudhuru raia wasio na hatia.
Hapa cha kujifunza kwa wale waislamu wanaomtafuta Mungu wa kweli ni kuwa
1. Mungu anataka kuwathibitishia kitabu chao kinachowachochea kuwa na chuki dhidi ya Israel hakiko sahihi
2. Kwamba wajifunze kuishi pamoja na Waisraeli, ambao wao tayari wameisha kubali hilo ndani ya Israel yenyewe ambako wako Waislamu wapatao 2 000,000
3. Inawezekana kabisa Mungu wa kweli ameruhusu surprises zote hizi ambazo Israel wamefanya ktk vita hivi:
• kuwapiga Gaza ndani ya nchi yao licha ya upinzani serikali ya Israeli inaopata toka nchi za waarabu serikali za Joe Biden, Ser3ya Keir Stamer (UK) UN, URUSI, CHINA
• Israel wamefichua Siri kubwa ambayo Dunia haikuwa inajua juu ya Mahandaki ya Hamas yanayokwenda hadi Misri ili kupitisha Silaha
• Vifo vya kushangaza vya Rais wa Iran na Waziri wake wa Mambo ya Nje
• Kuuawa kwa Kiongozi wa juu kabisa wa Hamas ndani ya Iran
• Kulipuriwa kwa Kiwanda cha Iran cha kutengenezea makombora ndani ya Syria
● Na leo hii hili shambulio la kipekee kabisa la kivita
Ni wakati sasa kwa Waislamu kusitukia huo msimamo wenu potofu, kabla haijawa too late. And my feelings ni kwamba licha ya shida zote hizi Israel inazopitia, wataivunja ngome ya Hamas, Hezbullah na kule Iran tutegemee sura tofauti ya Utawala tofauti na Utawala wa Kiayatollah.
View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1836046514302398781