Shambulizi la kigaidi kwa kutumia gari aina ya pickup new Orleans Marekani, 10 wauawa na 30 wajeruhiwa , muuaji akutwa amefariki

Sema kwanini hao us na israel wameweza kutengeneza watu wa design hio kupitia hio dini au waarabu tu na sio jamii nyingine.......ukiona hivyo jua kuna mwanya wameuona na wanautumia
Ni kweli ila na congo pia ambapo hakutawaliki unasemaje? Hawa mashetani wanatumia kila njia kupata wanachotaka kwa jina la democracy, ugaidi na haki za binaadamu
 
Kobaz hawapoi, wanaamsha amsha huko duniani dah, mi hawa kobaz nikimkuta ndani ya dala dala nateremka, hachelewi kujilipua
Minyoo ya NGURUWE ilivyoathili uwezo wako wa kufikiri
 
Nasema wakati wakuzik h7
Haijapata kuandikwa; waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu; bali wenye haki ni jasiri kama simba?

Jitenge na waovu uwe miongoni mwa wenye
 
Wazungu neno Ugaid wanalitumia kama nyenzo ya kisiasa lkn wao ndio MAGAID wanauwa watu ovyo tena wanatoka kwao kwenda nchi za wengine na kuuwa watu kwa umati. Vile MEDIA wamezishika wao basi tutaamini ushuzi wowote wautakao wao.!!
 
Wao ndio wanapeleka vifo kwa wengine na wao waletewe kifo nyumbani kwao iyo ndio haki. Ujumbe umewafikia kuwa kuuwa watu ovyo pasi na sababu!! ipo siku usioijua utagalamika kuzika wasio na hatia kwako pia ukipanda kifo utavuna kifo!!
 

Yaani uungwana wa wazungu kuwaruhusu hawa mbwa kwenda kuishi nao ndiyo kinachowaletea shida. Hakuna muislamu mstaarabu, wote mawazo yao ni kuua watu wengine. Fikiria tu mtu kila siku anawaza kuua mtu/watu. Shida kubwa ipo kwenye mafundisho na hilo li kitabu lao
 
Hakuna muislamu wa kweli anayeijua dini atashabikia kuua watu wasio na hatia, msilolijua hao wanaojilipua wametengenezwa na hao hao us na israel baadae ndo wameanza kuwabackfire . Msikilize sheikh hapo.
Upumbavu mwingine yaani, hapo unataka uaminike kwamba mmarekani atengeneze mtu ili aende kuua wamarekani. Akili unayo kweli? Propaganda at its best, hongera
 
Hakuna muislamu wa kweli anayeijua dini atashabikia kuua watu wasio na hatia, msilolijua hao wanaojilipua wametengenezwa na hao hao us na israel baadae ndo wameanza kuwabackfire . Msikilize sheikh hapo.
Pale Zanzibar waislamu wanaochapa viboko watu na kuwakataza wasiuze chakula kwenye migahawa na mahoteli kipindi cha ramadhani wametumwa na waisrael?
Huwa mnapenda sana kujifariji
Uislamu ni ugaidi
 
🤣🤣🤣 mule muleeee.
Kuwatetea hawa jamaa inahitaji nguvu sana.
 
Mihemuko itaendelea kuwamaliza taratibu mkija kushtuka tayari "it's too late to apologize"

Fanyeni tafiti kwanini tunasema uislamu hauko hivyo mnavyouchukulia na kwanini yanayotokea yanawekwa chini ya mwavuli wa uislamu. Labda nikupe hint tu, mbona hatujawahi kusikia watu kama kina sudays, saad, shuraim, buchory, kombo, mwaita na masheikh wengine kutoka sehemu mbalimbali duniani wakitajwa kwenye huo ugaidi? Maana kwa madai yenu ni kwamba hayo ni mafunzo ya uislamu na ugaidi ndiyo jambo la thawabu za juu zaidi sasa iweje wanaofanya wawe ni watu wa low profile na wachovu? Ina maana hizi thawabu lukuki za kuua wao viongozi hawazitaki?

#Wagawe kisha watawale
#mpe mbwa jina baya kisha muue
#Poteza vichache kwa maslahi makubwa
#KuWa tayari kufanya lolote ikibidi hata kujitolea uhai wako kwa maslahi mapana ya nchi yako



Kalagha bhaho na ubozi wako!
 
Low profile wanafadhiliwa na matajiri wa kiislam. Sawa na Iran inavyofadhili makundi kadhaa ya ugaidi. Hata Congo DRC Ina waislam toka nchi mbalimbali za Africa wanafadhiliwa na nchi za kiarabu kuuwa wakongo na kuchomwa vijiji wakijiita ADF. Leo hii hapo Zanzibar ukijenga Kanisa linachomwa moto, kama kuna muislam anabisha nimpe simu ya mtu anayeishi huko.
 
Kazi ya Taifa la Magaidi la Qatar
 
Upumbavu mwingine yaani, hapo unataka uaminike kwamba mmarekani atengeneze mtu ili aende kuua wamarekani. Akili unayo kweli? Propaganda at its best, hongera
Akili kisoda huwezi kuelewa kwani is imetengenezwa na nani osama bin laden alitengenezwa na nani wew mat***ko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…