Shambulizi la kigaidi kwa kutumia gari aina ya pickup new Orleans Marekani, 10 wauawa na 30 wajeruhiwa , muuaji akutwa amefariki

Kwa hiyo wanatengenezwa:
Waarabu tu?
Waislam tu?

Mbona sijawahi kusikia gaidi wa Kijapani?
Mbona sijawahi kusikia gaidi la Kihindi?
Neno "gaidi" limefanywa kuwa jina (special name)kwa ajili ya jamii ya waarabu,vipi ulisikie kwa jamii ya watu wengine!?bali shughuli za kigaidi zinafanywa na watu wa mataifa mbalimbali kwenye maeneo tofauti ya dunia,hasahasa viongozi wa serikali za mataifa yenye maendeleo makubwa kiuchumi na yenye nguvu kijeshi.
 
Hakuna muislamu wa kweli anayeijua dini atashabikia kuua watu wasio na hatia, msilolijua hao wanaojilipua wametengenezwa na hao hao us na israel baadae ndo wameanza kuwabackfire . Msikilize sheikh hapo.
Kama kawaida lawama zote kwa John.

Upande wenu hakuna Muislamu muovu, wote wasafi. Wote mbinguni.
 
Kobaz hawapoi, wanaamsha amsha huko duniani dah, mi hawa kobaz nikimkuta ndani ya dala dala nateremka, hachelewi kujilipua
makafiri ndio maadui wa wakubwa dunia hii
 
Hakuna muislamu wa kweli anayeijua dini atashabikia kuua watu wasio na hatia, msilolijua hao wanaojilipua wametengenezwa na hao hao us na israel baadae ndo wameanza kuwabackfire . Msikilize sheikh hapo.
tukisema hii dini ni ya shetani, ilianzishwa na shetani na wote wanaoifuata mwisho wao ni motoni pamoja na shetani, muwe mnatuelewa.
 

Ule muhadhara ni lini?


...Ni Hayo Tu!!
 
Kama kawaida lawama zote kwa John.

Upande wenu hakuna Muislamu muovu, wote wasafi. Wote mbinguni.
Kumbe na wewe uelewa wako ni mdogo hivi, nimesema wapi hakuna muislamu muovu?

Hajalaumiwa mtu hapa na huo ndo ukweli, Us walimtengeneza osama baaadae akaja kuwalipua 911 au we hukuona. Sa tumia hio kama reference, muislamu kweli hawezi kumuua mtu asiye na hatia ukishamuona mtu anafnya hivyo jua hakuna muislamu hapo.
 
Nitareteremka daladala zote nitembee na mguu kama kila daladala lina kobaz aliyejitanda ninja usoni, huwa nawaogopa hawachelewi kujilipua
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hao wanaojilipua hawajielewi mkuu, ni kama machizi flani
 
Ni kweli ila na congo pia ambapo hakutawaliki unasemaje? Hawa mashetani wanatumia kila njia kupata wanachotaka kwa jina la democracy, ugaidi na haki za binaadamu
Mie ndo sielewagi kwanini wa upande wa kule lazima waitwe magaidi ila hawa wengine utasikia tu waasi.........vikundi vya waasi vs vikundi vya magaidi
 
Mbwa wewe acha uongo.
DRC Congo MAKUNDI YOTE YANAFADHILIWA NA MATAJIRI WAKUBWA KUTOKA ISRAEL NA USA NA FRANCE AMBAO WANAVUNA BLOOD MINERALS.
ACHA UONGO HAUKUSAIDII KITU.
 
Mbwa wewe acha uongo.
DRC Congo MAKUNDI YOTE YANAFADHILIWA NA MATAJIRI WAKUBWA KUTOKA ISRAEL NA USA NA FRANCE AMBAO WANAVUNA BLOOD MINERALS.
ACHA UONGO HAUKUSAIDII KITU.
Pole sana mkuu. Matusi yako yanaonyesha ulivyo na hasira za kuua kama Irani na Waarabu wenzako. Tungeweza kupngana bila kutukana, hata hivyo pole tena kwa jazba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…