KQ is now a shame of Africa. Hawana kitu cha kujivunia tena. Advantage waliyokuwa nayo ni kuwa a hub of this part of Africa. Ukitaka ku connect kwenda nchi yeyote ya Africa kutokea Dar, KQ ilikuwa na solution.
Lakini suala la wizi, delays, flight cancellation and poor customer services wasipoyafanyia kazi litawagharimu ile mbaya. Two weeks ago nilikuwa na connect toka KQ kwenda KQ na boading pass nilikuwa nayo; lakini wakaniacha (kisa eti walijua ndege ya kwanza ingechelewa, hivyo waka tu cancel). Tukasubiri flight inayofuata kwa masaa manne airport! Hata radhi hawaombi hao watu wa gate counters na sura zao wanakunja utadhani Jairo anasikiliza maneno ya Pinda jana.
Nadhani shirika la ndege la Kenya linapiga mbizi kwenye matope sasa.