Shame for Kenya as JKIA closed again

Shame for Kenya as JKIA closed again

Ilisha nitokea sana, na kuna wezi sana wa mizigo pale na walisha wahi kuvunja sanduku langu
 
Tusikimbilie kulaumu bila kujua undani wa tatizo lililosababisha safari kufutwa!!!!!.

Tiba
Sijakimbilia kulaumu.
Shida wanasema ilikua kwenye terminal MOJA na airport ikaamua ku-cancel safari zote zenye kuanzia kenya na kuwapa priority watu in transit.
Nalaumu baada ya kujikuta in a situation that could have been avoided. Kulikua na ndege nyingine inaenda same route na ilienda half empty. Badala ya kunituma hotel wangeniweka ndani ya ndege hilo maana accomodation ya siku 2 hii hotel ni almost 2/3 ya nauli yenyewe.
As I mentioned, nadhani mtu akitoa kaakiba kake kwa kupanda ndege ni sababu anataka kufika mapema na bila uchovu. Hali hii ilinitokea wakati wa KQ strike, nililala siku 3 hapa Nairobi. ilitokea tena in 2010 may, nililala siku moja in another town waiting for KQ kuja, then nilipofika hapa nikalala siku 2 kuwasubiri wamalize kuweka sawa mambo yao. na yote ilikua sababu ya poor management wala sio technical error ao aircraft.
 
una tetea nini sasa, au bado hujatumia KQ, acha hizo, tena security wa nairobi wanatabia ya ubaguzi, kama mbongo unakwenda states kupitia jomo kenyata wanakusmbua kama vile visa umebandika mwenyewe
 
Achana na hao Wakenya ni wasumbufu sana. Kama unaenda route mara nyingine badilisha tumie airline nyingine utaona utofauti.
 
Wakuu hili neno "kuhairisha" badala ya "kuahirisha" limesharasimishwa au namna gani katika lugha ya kiswahili, mbona watu wengi wanalitumia hapa JF?
 
Wakuu hili neno "kuhairisha" badala ya "kuahirisha" limesharasimishwa au namna gani katika lugha ya kiswahili, mbona watu wengi wanalitumia hapa JF?
Sorry, nilimaanisha kuahirisha. asante kwa kunikosoa. nitaenda kubadilisha posts zangu zote...
 
KQ is now a shame of Africa. Hawana kitu cha kujivunia tena. Advantage waliyokuwa nayo ni kuwa a hub of this part of Africa. Ukitaka ku connect kwenda nchi yeyote ya Africa kutokea Dar, KQ ilikuwa na solution.

Lakini suala la wizi, delays, flight cancellation and poor customer services wasipoyafanyia kazi litawagharimu ile mbaya. Two weeks ago nilikuwa na connect toka KQ kwenda KQ na boading pass nilikuwa nayo; lakini wakaniacha (kisa eti walijua ndege ya kwanza ingechelewa, hivyo waka tu cancel). Tukasubiri flight inayofuata kwa masaa manne airport! Hata radhi hawaombi hao watu wa gate counters na sura zao wanakunja utadhani Jairo anasikiliza maneno ya Pinda jana.

Nadhani shirika la ndege la Kenya linapiga mbizi kwenye matope sasa.
 
KQ is now a shame of Africa. Hawana kitu cha kujivunia tena. Advantage waliyokuwa nayo ni kuwa a hub of this part of Africa. Ukitaka ku connect kwenda nchi yeyote ya Africa kutokea Dar, KQ ilikuwa na solution.

Nadhani shirika la ndege la Kenya linapiga mbizi kwenye matope sasa.
Tutafute mbadala. so long as hatuna airline nyingine tutaendelea kulia tu. tuwakaribishe ethiopian?
 
Haaaaa ndugu yangu, kuna wengi wenye fujo kuliko zako waliambiwa tu rooms za regency na panari zimejaa kwa hiyo wanatumwa kajamba nani lodge. baada ya 2 hours ya ubishi na ugomvi ilibidi wawe wapole tu na wakubali vocha. Mimi hapa nilipo sio pabaya. In fact ningejilipia kwa hela yangu mwenyewe ningekuja hapa hapa. Ni town kati ila hapana fujo na kuna facilities zote za modern hotel. ka 3 star fulani...
Yoooote anayofanyiwa mwafrika amejitakia mwenyewe..... hakuna wa kulaumu...
 
pole sana ma dear siku nyingine mzee akuachie emergency unajua ndege sio kama dgm za mbagala zikizima unashuka hapo hapoo unahamia kwingine naamini Mungu akupe subra ukishindwa kabisa omba msaaada hata wao tunawalazaga kwetu wakiishiwa airport
 
Checkini wakuu kule Kenya umeme ulikatika wanja wa ndege wa JKIA mpaka Kenya Airports Authority MD akatoa maelekeza na uwajibikaji wa kutatua tatizo hilo kwenye gazeti la serikali, Bongo hatuna umeme karibu mwaka sasa na bado serikali inakula rahaaa tu wananchi ndio kabisaaa
 

Attachments

  • IMG-20110720-00739.jpg
    IMG-20110720-00739.jpg
    98 KB · Views: 83
why the hell did power go out at JKIA of all places??? this is unacceptable!!!!
 
Back
Top Bottom