rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
tatizo unachukulia mambo siriaz sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana mwanamke kutongozwa ni dharau au ni wewe ndie unamdharau Mkude kwa kumuona hana hadhi ya kumtongoza Barbara?aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake
Mo Dewji ni fundi wa nini?! Sio kocha wala mchezaji! Sio Engineer wala Technician! Sasa ufundi wa Mo unatoka wapi?.na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha MO DEWJI
Ina maana kwako Pisi Kali ni mwanamke asiyeenda shule na mvivu mvivu; ama?Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga simba kupitia media na it is well organised,ILA MAKANJANJA KUWENI NA HESHIMA,BARBRA SIYO PISI KALI NI MWANAMKE MSOMI NA MCHAPAKAZI.
Kwani hao akina Hando wamehoji uwezo wa Barbara kuongoza Simba au wamezungumzia suala la Barbara kutokewa na Mkude? Tangu lini mwanamke kutongozwa ikawa ni mfumo dume?!UKISIKIA MFUMO DUME NDIYO HUU SASA WA JAMII YETU,BARBRA GONZALEZ HAANGALIWI USOMI WAKE NA UCHAPAKAZI WAKE ANAANGALIWA KAMA CHOMBO CHA STAREHE NA UREMBO WAKE NDIYO UNAMPONZA ZAIDI
Hebu punguza jazba.
Hiyo pisi ya Mudi isikufanye uharibu siku yako namna hii.
kwani sio pisi kali?insaikitisha sana hayo mambo kupelekwa redioni kigogo kila siku twitter anaongea kuhusu DC fulani kwamba ni kina fulani lakini hawasemi redioni au wanaogopa?kuna mengine ni ya kuyaacha mtandaoni sababu mitandao ni vurugu kubwa kama kilabu cha pombe ila kwenye redio tena inayosikika mikoa mingi kuongea upuuzi kama huo?
YAANI CEO WA SIMBA ANAITWA PISI KALI CHOMBO YA FUNDI?(MO DEWJI) anyway fani yenyewe ya uandishi wa habari ishakuwa takataka siku hizi
Iko hivi
Mo anafanya utapeli..
Na watu njaa ndo wanamfagilia..
Tangu lini mwenye hisa 49 anateua CEO?
Kaambiwa Lete bilion 20 hataki
Anatumia club kutangaza bidhaa zake bure
Huyu Barbara alikuwa kwenye kampuni zake..
Kamleta pale aendeleze utapeli wake
Sasa ana Mo foundation ..ili asilipe na kodi kupitia foundation...
Yan unachokipigia kelele ww ndio ulichokifanya hapa, je ukiambiwa upeleke ushahidi wa ilo fungu walilopewa izo media unazoita kanjanja utalithibitisha ilo? Acha kuchafua media za watu na kuziita kanjanja. We km unashabikia Simba shabikia ila mambo yaliyokuzidi upeo achana nayo utakuja kujikuta pabaya wakati hata kadi ya uanachama wa Simba huna hapo ulipo.fungu limetoka kubwa sana ku demonise simba kwa kila hali kwenye media za makanjanja mmekula hela lakini kuweni na mipaka MTUNZIENI BARBRA HESHIMA YAKE KAMA MWANAMKE MSOMI ,msitengeneze mazingira ya nchi hii kwamba Mwanamke ni malaya na hawezi kushika cheo kikubwa bila kulalwa
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?Yan unachokipigia kelele ww ndio ulichokifanya hapa, je ukiambiwa upeleke ushahidi wa ilo fungu walilopewa izo media unazoita kanjanja utalithibitisha ilo? Acha kuchafua media za watu na kuziita kanjanja. We km unashabikia Simba shabikia ila mambo yaliyokuzidi upeo achana nayo utakuja kujikuta pabaya wakati hata kadi ya uanachama wa Simba huna hapo ulipo.
Hapo waliposema kamgonga wapi? Wkt we mwenyewe hapo kwenye thread umeandika alimtongoza ila saiv ushaongeza neno tena la kuongea, kuwa makini unaweza kuta ww ndio una kesi ya kujibu kwa tafsiri zako.naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
Kuna msemo kwamba watu wanakuchukulia kwa jinsi unavyojichukulia.
Simba na Yanga zimeamua kuendesha taasisi zao kihuni, hivyo hata hao watangazaji watazichukulia kihuni hivyo hivyo.
Nimezungumzia recruitment criteria ya CEO hapo, ilikuwa ya kihuni.
Tukija kwenye tatizo la Mkude, unapotoa press release ya utovu wa nidhamu kwenye sports, unakuwa obliged kutaja kosa husika kwa uma. Otherwise angepewa adhabu kimya kimya.
Kutotaja kosa unatengeneza mazingira ya uma kujaza kosa wao wenyewe.
Acheni kujiendesha kihuni ili mpewe heshima stahili.
wal sishangai watu kama nyie majibu yenu,nilichojifunza hapa ni kwamba.Hapo waliposema kamgonga wapi? Wkt we mwenyewe hapo kwenye thread umeandika alimtongoza ila saiv ushaongeza neno tena la kuongea, kuwa makini unaweza kuta ww ndio una kesi ya kujibu kwa tafsiri zako.
sababu sijui kisa nisilalamikie udhalilishaji huu in other words unaniambia kwamba kisa ni mkude kula fundi ya chombo kama walivyosema Efm?Km unajua sababu ya icho kisa cha mkude kuadhibiwa ungeweka hapa ili kukata mzizi wa fitina sio na ww unakuja na blah blah nyingi.
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.
Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez
Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini dakika 3 zilizopita kwenye kipindi cha sports headquarters amcho bado kipo hewani kina Francis mhando na imma kapanga wamefanya JAMBO LA KISHENZI SANA, naomba ninukuu.
"Nasikia Mkude kakitokea chombo cha fundi, si unajua ni pisi kali ile" aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake. Na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha Mo Dewji
Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga Simba kupitia media na it is well organised, ila makanjanja kuweni na heshima, Barbra siyo pisi kali ni mwanamke msomi na mchapakazi
Ukisikia mfumo dume ndiyo huu sasa wa jamii yetu, Barbra Gonzalez haangaliwi usomi wake na uchapakazi wake anaangaliwa kama chombo cha starehe na urembo wake ndiyo unamponza zaidi.
Shame on you Efm sikutaraji kusikia ujinga huo redioni