Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa pisi kali
 
aisee kwanza ni dharau sana kwa wanawake wanachokionyesha hawa jamaa sana kwa wanawake
Ina maana mwanamke kutongozwa ni dharau au ni wewe ndie unamdharau Mkude kwa kumuona hana hadhi ya kumtongoza Barbara?
.na hapo wakisema chombo cha fundi wanamaanisha MO DEWJI
Mo Dewji ni fundi wa nini?! Sio kocha wala mchezaji! Sio Engineer wala Technician! Sasa ufundi wa Mo unatoka wapi?
Tunajua kuna kampeni kubwa sana ya kuivuruga simba kupitia media na it is well organised,ILA MAKANJANJA KUWENI NA HESHIMA,BARBRA SIYO PISI KALI NI MWANAMKE MSOMI NA MCHAPAKAZI.
Ina maana kwako Pisi Kali ni mwanamke asiyeenda shule na mvivu mvivu; ama?
UKISIKIA MFUMO DUME NDIYO HUU SASA WA JAMII YETU,BARBRA GONZALEZ HAANGALIWI USOMI WAKE NA UCHAPAKAZI WAKE ANAANGALIWA KAMA CHOMBO CHA STAREHE NA UREMBO WAKE NDIYO UNAMPONZA ZAIDI
Kwani hao akina Hando wamehoji uwezo wa Barbara kuongoza Simba au wamezungumzia suala la Barbara kutokewa na Mkude? Tangu lini mwanamke kutongozwa ikawa ni mfumo dume?!

Hakika njaa kali hatari manake ulivyotoa povu utadhani ni wewe ndie umetongozwa!
 
Waliongea kawaida tu ila ila wewe umekuja unafoka hadi unatutemea mate. Na ile haikuwa kama habari serious, zilikuwa kama stori tu.
 
kwani sio pisi kali?
 

Mo katushika pabaya, na watu hawataki kusikiliza hoja zozote zinazopingana na mipango yake.

Elimu, elimu, elimu, watu hawaelewi umuhimu wa mikataba, hawaangalii mbeleni itakuwaje.
 
Yan unachokipigia kelele ww ndio ulichokifanya hapa, je ukiambiwa upeleke ushahidi wa ilo fungu walilopewa izo media unazoita kanjanja utalithibitisha ilo? Acha kuchafua media za watu na kuziita kanjanja. We km unashabikia Simba shabikia ila mambo yaliyokuzidi upeo achana nayo utakuja kujikuta pabaya wakati hata kadi ya uanachama wa Simba huna hapo ulipo.
 
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
 
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
Hapo waliposema kamgonga wapi? Wkt we mwenyewe hapo kwenye thread umeandika alimtongoza ila saiv ushaongeza neno tena la kuongea, kuwa makini unaweza kuta ww ndio una kesi ya kujibu kwa tafsiri zako.
 
Umenena vema, simba wameiruhusu hali hii itokee, kama wangetaja kosa, hizi speculations zisingekuwepo, wametoa hundi ambayo mlipwaji ndo anajaza kiwango cha pesa
 
Hapo waliposema kamgonga wapi? Wkt we mwenyewe hapo kwenye thread umeandika alimtongoza ila saiv ushaongeza neno tena la kuongea, kuwa makini unaweza kuta ww ndio una kesi ya kujibu kwa tafsiri zako.
wal sishangai watu kama nyie majibu yenu,nilichojifunza hapa ni kwamba.

mwanamke ni chombo cha starehe haijalishi uwezo wake kichwani---ukiwa na itikadi tofauti basi udhalilishaji wa upande wa pili kwako siyo shida,Esther matiko alishawahi kupigwa kidole cha makalio na askari polisi lakini yakapuuzwa, mke wa lowasa alishashikwa makalio kipindi wakiwa chadema tena hadharani yakaishia juu kwa juu

Tunapoelekea kuna siku CEO wa simba atashikwa hata matiti hadharani na kuna watu watashangilia , majibu utasikia agh kwani machakato wake kupata U CEO ulikuwaje? kwanza mO tapeli ,na wengine watasema ni sawa tu sababu ni pisi kali
 
Km unajua sababu ya icho kisa cha mkude kuadhibiwa ungeweka hapa ili kukata mzizi wa fitina sio na ww unakuja na blah blah nyingi.
sababu sijui kisa nisilalamikie udhalilishaji huu in other words unaniambia kwamba kisa ni mkude kula fundi ya chombo kama walivyosema Efm?
This is really a bad kwa attitude hii kuna siku yule dada wa watu (Barbra)atakuja kufanyiwa udjalilishaji mkubwa sana hadharani na najua nusu ya nchi italipuka kwa shangwe sababu ni itikadi tofauti ya ushabiki, yangu macho
 
ASILIMIA 90 YA MAJIBU YA HUU UZI YANANIFANYA NITOE CONCLUSION HIII:
*CLUB YA SIMBA MTAFUTIENI BARBRA ULINZI KUNA SIKU ATASHIKWA MAKALIO AU MATITI HADHARANI KABISA MTASHANGAA WENYEWE,MAJITU MENGI NI MA PERVET KABISA NA YATAFURAHIA YAKISEMA MCHAKATO WAKE WA U CEO HAULEWEKI HIYO ITAKUWA SABABU TOSHA KABISA
*HII NI JAMII AMBAYO IKISIKIA HAKIMU KAACHIA MBAKAJI WA MSICHANA WA MIAKA 13 KWA KIGEZO KWAMBA BINTI NI MZOEFU INASHANGAA LAKINI IKISIKIA CEO WA SIMBA ANADHALILISHWA SABABU NI MWANAMKE WANASEMA AGH ACHANA NA HIYO MO NI TAPELI
*JAMII AMBAYO MSICHANA AKIVAA SURUALI IMEBANA INAAMINI ANA HAKI YA KUBAKWA AU KUMCHANIA NGUO HADHARANI AU MGOMBEA UBUNGE WA KIKE ANAPIGWA DOLE LA MAKALIO HADHARANI NA WATU WANASHANGILIA AU MKE WA MGOMBEA URAIS ANATOMASWA MAKALIO NA WATU WABACHEKELEA NI ILE INAYOMUONA MWANAMKE KAMA "PISI KALI" CHOMBO CHA STAREHE
 


Sasa wewe ndugu yangu ndo umemtaja huyo CEO? Pisi kali ni nani? Chombo ya fundi maana yake ni nini? Fundi ni nani?

Hapa kisheria Efm hawaingii.... Ila wewe ndo unaweza ingina matatani kwa kuleta fasiri yako hiyo
 
Kwani anasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…