Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

Mleta mada unaomba huruma kwa kuanzisha Kilio hum!!
Wacha kuchengesha mada
sisi tumekuwa tukiwakumbusha
Mlianzisha mada humu Marekani Imetoa Onyo kwa Raia wake kudhuru Tanzania eti kisa Ushoga,Ugaidi
akashindwa kuonya Kenya leo kipo wapi!!
JlHakuna anae furahia kifo cha mwanadamu yeyote
Ila mjitahidi kuwa na Akiba ya maneno
 
some guys hapa are very happy.
There is no one happy about this, lakini ukweli ni kwamba wenzenu Uganda baada kuondoa majeshi yao Somalia wako peaceful kwa nchi yao. Sasa nyinyi mnaufanya kichwa ngumu so lieni kimyakimya.
 
some guys hapa are very happy.
Kama wapo ni wale wenye roho za kishetani kama walivyo materrorist. Eleweni Wakenya ni ndugu zetu, watani zetu wa jadi, majirani zetu wakati wa shida na raha, na watu wetu wa karibu. Poleni maana msiba wenu ni msiba wetu pia
 
There is no one happy about this, lakini ukweli ni kwamba wenzenu Uganda baada kuondoa majeshi yao Somalia wako peaceful kwa nchi yao. Sasa nyinyi mnaufanya kichwa ngumu so lieni kimyakimya.
Wewe ni mpumbavu kabisa. Wakiondoa majeshi hata Tanzania watafika hawa materrors
 
Msapere! I can assure you ,some of your fellow Kenyans are happy with the attack. One of them is what you call K24 tv channel. How can this tv channel enjoy playing music while other channels are showing the event live. I was shocked
 
Kumbuka jumuia ya EA ,ni kama kundi la familia nyingi zilizoungana , anaefurahia janga la mwenzake ni mwehu . Ni uungwana !! Mambotela uko wapi ? Hao wehu wakatubu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wapotezee ni kizazi cha nyoka, wahangaikaji wa mjini bila mbele wala nyuma hutafuta kiki/attention kwenye mitandao ili kupunguza msongo wa mawazo, Watanzania wengi wamesikitishwa na kilichotokea, Whatsapp yangu imefurika rambirambi kutoka kwa Watanzania marafiki zangu.
Trolls za humu ukizifungulia uzi hivi ndio zinapata raha, lakini ukizipuuza zinaishia kuteseka sana. Wamenitag sana wakijaribu kuniita kwenye hizo sherehe zao za kuchekelea yaliyotokea, lakini nawapuuza, inawauma sana, just don't feed trolls, they will just crawl back into their caves of miseries.
 
acha owoga aisee, nani amefurahia sasa?
 
Tutaniane sana na majirani zetu lakini wakati wa matatizo tuwe pamoja
 
There is no one happy about this, lakini ukweli ni kwamba wenzenu Uganda baada kuondoa majeshi yao Somalia wako peaceful kwa nchi yao. Sasa nyinyi mnaufanya kichwa ngumu so lieni kimyakimya.
Majeshi ya uganda bado yapo kule hata ndio wengi zaidi, 6000- 8000 ivi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Uganda wako Amani toka wajitoe kwenye mapigano yasio na faida?
Una uhakika kuwa wako na amani unless na wewe ni mmoja wao hao materrors. Hakuna anayeweza kutapa kuwa yuko salama kama hawa mashetani bado wako. Nahisi na wewe una sympathize nao maana sioni unalotetea hapa
 
We do not celebrate.

We have warned you several times, get out of Somalia. Stop killing the innocent Sheikhs in Mombasa. You never listened.

You have created the monster, now deal with it without trying to smear Tanzanians. I believe millions of Kenyans are celebrating. Namely the Somalis and Muslims in Mombasa.
 
shetani ushindwe..unapenda ukiona damu ya watu ikimwagika..shetani ushindwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…