Pole sana Msapere na wakenya wote kwa janga kubwa na gumu lililotokea Riverside. Wala usipoteze nguvu nyingi kuangalia nani anafurahia ujahili huo, iwe Kenya, Tz au popote duniani. Tupeleke nguvu zetu, misaada na sala zetu kwa waliodhurika kwenye shambulio hilo. Hao wanaofanya huo unyama wapo kila mahali na wanao watu wanawasaidia au kuwashabikia kutokana na itikadi au misimamo yao. Na wengi wanaowashabikia na hata kuwasaidia ni Wakenya zaidi. Hiyo haina maana kuwa Kenya yote au Wakenya wote wanafurahia au kuunga mkono ushetani huo.This are the guys happy and always wishing kenya is attacked,according to how they are texting it clearly shows they are pleased with what happened yesterday in 14 Riverside:
Ichoboy kadoda11 MOTOCHINI REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole
SHAME ON YOU a$$holes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
How can you be happy to see people being killed? anyway the terrorists have been killed and over 700 people saved from the attack,it was unfortunate we lost 14 people let them R.I.P. I see a foolish NIGGAR Ichoboy insisting that 48 people died.dude did u kill them? shetani ashindwe.
About 300 Tanzanians died in the Ferry accident and no Kenyan celebrated such infact Uhuru donated some cash and staff..Washenzi mashetani mushindwe kabsa.
Basi tuwe watulivu, tuwe wamoja ili kwa pamoja tuweze kuwashinda maadui zetu ambao tayari wapo miongoni mwetu sisi wenyewe.
Mungu ibariki Kenya, Mungu iponye Kenya, Mungu ibariki Afrika Mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app