Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

This are the guys happy and always wishing kenya is attacked,according to how they are texting it clearly shows they are pleased with what happened yesterday in 14 Riverside:
Ichoboy kadoda11 MOTOCHINI REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole

SHAME ON YOU a$$holes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
How can you be happy to see people being killed? anyway the terrorists have been killed and over 700 people saved from the attack,it was unfortunate we lost 14 people let them R.I.P. I see a foolish NIGGAR Ichoboy insisting that 48 people died.dude did u kill them? shetani ashindwe.

About 300 Tanzanians died in the Ferry accident and no Kenyan celebrated such infact Uhuru donated some cash and staff..Washenzi mashetani mushindwe kabsa.
Pole sana Msapere na wakenya wote kwa janga kubwa na gumu lililotokea Riverside. Wala usipoteze nguvu nyingi kuangalia nani anafurahia ujahili huo, iwe Kenya, Tz au popote duniani. Tupeleke nguvu zetu, misaada na sala zetu kwa waliodhurika kwenye shambulio hilo. Hao wanaofanya huo unyama wapo kila mahali na wanao watu wanawasaidia au kuwashabikia kutokana na itikadi au misimamo yao. Na wengi wanaowashabikia na hata kuwasaidia ni Wakenya zaidi. Hiyo haina maana kuwa Kenya yote au Wakenya wote wanafurahia au kuunga mkono ushetani huo.

Basi tuwe watulivu, tuwe wamoja ili kwa pamoja tuweze kuwashinda maadui zetu ambao tayari wapo miongoni mwetu sisi wenyewe.

Mungu ibariki Kenya, Mungu iponye Kenya, Mungu ibariki Afrika Mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi sana aisee,huwezi kufurahia mateso ya nwingine..
Inahuzunisha sana,, mfano mwangalie huyu ISIS
Screenshot_2019-01-16-15-20-05.jpeg
Screenshot_2019-01-16-15-18-47.jpeg
Screenshot_2019-01-16-15-18-27.jpeg
 
Madhaifu ya kijeshi ya nchi za Afrika yanafanana. Kama mtu anafurahi kuona askari/ wanajeshi wa Kenya walihenyeshwa na hao watu wachache same could happen kwa UG, TZ.

Magaidi hawaji Tz siyo kwa vile wanatuogopa ila kwakua hawana sababu ya kuja.

Pengine Tzians baadhi hawajui hilo.
 
Hakuna mtu anayesfurahia shida za mtu mwengine, kinachotufanya tuwachukie ninyi wakenya, ni tabia yenu ya kupenda kujisifia hata katika kipindi cha matatizo kama haya.

Mnapipatwa na msiba au tatizo kubwa kama hili, mnapaswa kuwa humble na muonyeshe kwamba mpo katika shida, ili majirani wakupe pole. Haifai kuanza kujipiga kifua kwamba ninyi mpo na makomandoo bora kabisa, kwamba mnajua kila kitu na hakuna nchi inayoweza zaidi yenu, hii ni tabia yenu inayosababisha nchi zingine ziwachukie na kushindwa kuwapa pole.

Tulipopata ajali ya ferry, ulisikia mtanzania gani aliyejisifia kwa lolote lile?, badala yake wengi wetu tulilaumu serikali kwa kushindwa kudhibiti ajali za majini, punguzeni majivune yasiyo na misingi, mnazidi kutengeneza maadui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachotufanya tuwachukie, wewe na nani?
 
Too late for that now.
Mi nasema hao Shabab wamalizwe tu once and for all!
Unahisi Kenya wakijitoa Shabab ndo wataondoka?

Kitu ambacho wengi bado tunabugi ni kuona shabaab kama big deal wakati maadui nyuma yao ndio maadui haswa,
Vita hii haiwezi kuisha kwa kushambulia shabaab tu, ni lazima hizi Agenda za Siri nyuma ya Pazia, (kwa mfano wafadhili wa Shabab) zifuatiliwe kiundani ndio tupate suruhisho,
Hata mimi nashauri kenya waondoe wanajeshi Somalia
 
Nakemea kwa nguvu zote na kijana wa CCM atakayefurahia mambo hayo atafukuzwa uanachama mara moja

Kusema ukweli vijana wa CCM walionekana kufurahia ugaidi uliotokea kwa majirani zetu Kenya [emoji53]

Niliona baadhi ya vijana wa CCM mitandaoni wakionekana kuwakejeli wakenya kwa matatizo yaliyotokea

Sio vyema kwa maana ugaidi unaweza kufanywa sehemu yoyote duniani na watu wa kila rika, kila kabila, kila nchi wakadhurika
 
KINGEFANYIKA HIVI!
WAKENYA WAJITOE HUKO NA MAJESHI YOTE YA KULINDA USALAMA HUKO WAJITOE,KAMA KUNA NGO'S ZITOKE HUKO AKATAYE TAKA KU REMAIN HUKO SHAURI ZAKE
WABAKI WENYEWE TU HUKO WAUANE WACHINJANE SHAURI ZAO
WAMALIZANE MPAKA SOMALI IBAKI TUPU
KIKUBWA NCHI JIRANI SIFUNGE NA KULINDA BORDER ZAO TU
NA KAMA KUNA MTU ANAPIGA KELELE SJUI SOMALI INAONEWA AKAMATWE AKATUPWE HUKO SOMALI AKAISHI

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app

Pengine ungekuwa umefikiria vizuri zaidi ungesema ni namna gani Somalia Inaweza simama tena,
Kumbuka yanayotokea Somalia hayana Tofauti sana na yale ya Syria, Nigeria, Libya Congo nk, kuna sababu lukuki za kwanini somalia haipaswi kusimama.
Kuna Maslahi ya watu mapana kwenye hizo vita.
 
KINGEFANYIKA HIVI!
WAKENYA WAJITOE HUKO NA MAJESHI YOTE YA KULINDA USALAMA HUKO WAJITOE,KAMA KUNA NGO'S ZITOKE HUKO AKATAYE TAKA KU REMAIN HUKO SHAURI ZAKE
WABAKI WENYEWE TU HUKO WAUANE WACHINJANE SHAURI ZAO
WAMALIZANE MPAKA SOMALI IBAKI TUPU
KIKUBWA NCHI JIRANI SIFUNGE NA KULINDA BORDER ZAO TU
NA KAMA KUNA MTU ANAPIGA KELELE SJUI SOMALI INAONEWA AKAMATWE AKATUPWE HUKO SOMALI AKAISHI

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tatizo la ugaidi haunaga mipaka. Ni kama nazi moja iliyooza kwenye gunia lazima uozo usambae.
Na hivi tulivo na waislam wengi naskia tayari vijana wetu wanaenda kutumika huko Somalia na wengine Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msapere ndio kawaida ya baadhi yao, wenzao wameshakueleza, hao wenye roho nyeusi utawajua kwa rangi zao. Sijasikia hata siku moja mkenya yeyote akifurahia misiba au vifo vinapotokea kwa majirani zetu. Acha mimi nitizame haya yote 'positively'. Hongera wakenya wenzangu, kwa utu, ukomavu na uelewa wenu wa kila mara. Mungu alibariki taifa letu tukufu la Kenya.
 
Kitu ambacho wengi bado tunabugi ni kuona shabaab kama big deal wakati maadui nyuma yao ndio maadui haswa,
Vita hii haiwezi kuisha kwa kushambulia shabaab tu, ni lazima hizi Agenda za Siri nyuma ya Pazia, (kwa mfano wafadhili wa Shabab) zifuatiliwe kiundani ndio tupate suruhisho,
Hata mimi nashauri kenya waondoe wanajeshi Somalia
Unajua kwa nini walipeleka wanajeshi wao kule in the first place? Wakiwatoa watarudi kulekule walikotoka. Rejea pre kibaki times na hali ya usalama especially kwa meli zilizokuwa zinakuja Mombasa.
 
Kusema ukweli vijana wa CCM walionekana kufurahia ugaidi uliotokea kwa majirani zetu Kenya [emoji53]

Niliona baadhi ya vijana wa CCM mitandaoni wakionekana kuwakejeli wakenya kwa matatizo yaliyotokea

Sio vyema kwa maana ugaidi unaweza kufanywa sehemu yoyote duniani na watu wa kila rika, kila kabila, kila nchi wakadhurika
We nawe ufiche ukilaza wako
Ccm inaingiaje kwenye mada hii
Wewe huwafahamu vizuri hawa wakenya
Ukitoa ushauri kinzani naawazo yao hapo mbaya
Tatizo lao nimajisifu
nihawa hawa kutwa husema JWTZ inauliwa na mapanga Congo
Hilo kweli lipo sahihi!!
Tumewaeleza Wakenya wa Jf waache ujinga wakufurahia Marekani kutanua kambi yao Kenya bila kujua wale wana yao na sio kwafaida ya mkenya
 
Back
Top Bottom