Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Ujinga huu !!,kumbe anaweka za ngada chaaaaa!!!acha afungwe
Ndio Ndito eti ukikaa na funguo utapata hamu ya kufungua utumie hela zako, vibubu mnafungua December na kila mmoja anasema aliweka lengo la KUBUBU ngapi na amefikia lengo, amevuka lengo au hajafikia lengo? Unakuwa MALKIA na wewe.
 
Du!,wabaya watu
 
pamoja na yote wasiwasi wangu ni kuwa mda si mrefu tutasikia wametoka
ova😀
 
Umeona eeehh!,ila Hawa watu walikua wanajulikana sema kwa kua muongeaji alikua mange anaonekana kiroporopo
 
Yule wa kwanza wa shamimu ataenda kwa babake, yule wa kwanza wa Abdul ataenda kwa mama ake, huyo wa kwao ndio ataenda pale magomeni mkuu..Wazazi wamepata watoto wao kiulaini maana walikuwa wanatishwa na pesa.
Niliwaza Hilo Hilo ila nawaonea huruma Sana watoto, wazazi wakati mwingine ni wabinafsi Sana hususan tukipenda kwenda nunua vitumbua na range
 
You experiance guy
 
Sasa tukizungumzia value ya heroin na ufungaji hadi uwezo wa mtu kubeba
Humu italeta balaa tu mkuu

Ova
 

Boss, wewe hapo unazungumzia bei ya mtaani ambapo heroine unakuta tayari imeshapikwa na volume kuongezwa tayari kuuzwa kwa mateja wa kawaida. Tena afadhali ungeongelea street value kwa nchi kama china ama marekani, bei inaweza fika huko 200m kwa kilo. Ila kwa Tanzania hata kilo moja ya heroine haina street value hata ya million 100. Kinachosaidia unga uonekane una thamani ni mzunguko. Unga una mzunguko mkubwa sana kutokana na idadi kubwa na ya uhakika ya watumiaji wake.
 
Alikuwa anafanya sana hii biashara ili kukithi mahitaji ya mkewe. Si unajuwa madada wa mjini kwa ubishoo wa kutambiana na kutaka kujiweka juu ama kuishi maisha ya kina Beyonce huku kiingereza kiiiiiingi kufake maisha.
Aseehh!!!wadada wa mjini wana taabu
 
Mange ni chizi maarifa
Na anawapata machizi wenzake wengi tu, kuna wakati alianza kuwafundisha jinsi ya kupata mume CLAAs au MZUNGU , akawaambia acheni kutengeneza TRIANGLE yaani NYUMBANI, KAZINI KANISANI/MSIKITINI NYUMBANI, mkitoka kazini nendeni hotel kubwa agiza hata maji utapata watu class, hameni manzese hamieni masaki hata kwenye banda la uani utakutana na watu claa...basi kuna mmoja akaja kulalamika eti NILIFANYA HIVYO NIKAPATA MZUNGU AMENI..MBA SIKU MOJA TU , akaninyima namba yake nilikosea wapi? Akajibiwa we alikuona MALAYA kwa nini ulimpa MBUNYE siku ya kwanza? Hahhaaaaaaaaaaaa! huyu ndio Mange na ELIMU YAKE, shami na VIBUBU vyake..kila chizi na machizi wake jamani.
 
Sasa tukizungumzia value ya heroin na ufungaji hadi uwezo wa mtu kubeba
Humu italeta balaa tu mkuu

Ova

Ndo maana nimemwambia, bei haziwekwi hadharani kuepusha kutamanisha watu. Kama yeye tayari keshaingizwa chaka kuwa gram 400 ya heroine inathamani ya 200 million kitu ambacho hata hakina hata thamani ya robo ya hiyo pesa. Mwingine akisiki pesa nyingi kama hivyo anaingia tamaa kuanza kujihusisha nayo.

Kitu ambacho husikii mamlaka za usalama zikitangaza bei kuepusha kutamanisha watu.
 
Kaaaah kumbe poda inaweza kuwa na mzunguko mkubwa kuliko unga wa ugali...hatari
 
Itakua Mako alimsinichi,jamaa itakua alipukutishwa pei yote
Huyo mweupe ni muuza unga anaitwa Kanyau, makonda alimtaja kwenye list jamaa akadakwa, sijui akachomokaje akahama na jiji now yuko south, halafu huyu bashite ndio tunaaminishwa mpambanaji wa madawa ya kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…