Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Aliacha kivipi akati amekutwa na mzigo!!!
 

Miaka mingi sana sana mpenzi wake alikuwa kwenye game, naye mpaka anaolewa anajua in and out za mpenzi wake maana haikuwa siri biashara za Abdul.. Kama mwanamke mwenye hekima alipaswa kumshauri mme wake kubadirika na kujikita kwenye biashara nyingine lakini bado aliendelea kumsaidia mme wake kutakatisha fedha na kujifanya mjasiriamali huku akiwashauri mabinti kujifunza kupitia yeye..

Hakuna asiyemjua Abdul kuanzia Ilala, Magomeni mpaka Kinondoni lilibaki suala la muda tu Serikali kufanya kazi yake..
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji6][emoji16][emoji6][emoji6]acha kabisaaa
hizo laana utakazo pata si za nchi hii, kuna mwl flan alisepa na denii, aiseee sijawahi ona mtu aliewahi laaniwa kama yuleee, wanawake ndio walikua wengii tena wa uswazii, hahaaa ila jamaaa ana roho ngumuu, hakurudi nyumaaa
 
Waliojaribu na kuacha natumai walipata mitaji ya biashara na wakaboresha maisha yao...maisha huwa hayatabiriki unasoma weeeh mpaka PhD unaishia kusubiri nyongeza ya mshahara kutoka kwa JPM Mei mosi na bado unakutana na hakuna.
 
Aliacha kivipi akati amekutwa na mzigo!!!


Imethibitishwa wapi kuwa ni kweli amekutwa na mzigo?

Nisome vizuri katikati ya mistari nazani utanielewa!

Tunapojadili tujaribu ku provide %

Ndo maana sheria inataka kuthibitishwa Mahakamani.
 
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.


Tatizo wasichana wa siku hizi wengiwao hawapendi mwanaume asie na pesa hata kama ni mstaarabu/mwenye tabia nzuri, aliyejikita katika imani/dini...sasa hawa wasichana wanachoangalia awe na pesa tu haijalishi yeye ni mlevi,malaya, muuza madawa,mnyanyasaji....wanawake ni watu wa ajabu sana ni wachache tu wanaojielewa...
 
Thubutu Kuna kipindi mmewe alisimama hii biashara maisha yakayumba Shamimu alikuwa anakazwa na......... bila kificho Nsembo alikuwa mdogo acha
weka wazi alikua anakazwa na YULE JAMAA NYUMBA ZAKE ZILIZOWEKWA SOKONI NA SERIKALI DR SHIKA AKAZUGA KUNUNUA.....akampeleka mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa gharama za milioni 28
nashangaa wanaosema nsembo ni tajiri aliyumba sana hapa katikati sidhani hata kama milioni kumi alikuwa nayo,atakuwa alipata nguvu baada ya kuona Daud Bashite yupo poa na kina kinje na kanyau kwa hiyo game on na yeye akaanza kurudi kwenye game sasa
 
Imethibitishwa wapi kuwa ni kweli amekutwa na mzigo?

Nisome vizuri katikati ya mistari nazani utanielewa!

Tunapojadili tujaribu ku provide %

Ndo maana sheria inataka kuthibitishwa Mahakamani.
Mkuu hao walomkamata wanafanya kazi kwa kufuata Sheria, wamekuta mzigo kilichobaki ni kwenda kuthibitishwa mahakamani tu hapo.
 
Kwelii mjini kuna mambo wenyewe wanasema mji huo wenu mzito...
 
Aisee! Kweli watu mnajua kutiririka humu. Wenye kazi yao wanadesa tu kwenye huu uzi.
 

JF hakuna kinachoharibika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…