Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,198
- 1,648
Nilitaka elimu ila kama inaleta tamaa basii ndukiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka elimu ila kama inaleta tamaa basii ndukiiiii
Aliacha kivipi akati amekutwa na mzigo!!!Nani ajuaye ndugu yangu Dunia ina mengi sana!
Hizo ni tuhuma tu labda tusubiri itakavyoweza kuthibishwa pasina Shaka !
Pengine ilikuwa zamani labda siku hizi walishaachaga!
Nazani uchunguzi wa kina utatakiwa kufanyika kwa haki!
Wakati mwingine si vema kumkuhuku mtu kwa historia huenda aliachaga !
Bro alikuwa kama suge knight mwili na tabiaPole sana....!!!vinatia hasira hivi vitu
Mange nae kwa visa. Huyu dada kasoma mkwawa high school 1997-1999 life yake ilikua ya kawaida akiwa na gruop lake la G6 dadas na alikua social sana. Alipomaliza alijutahid kujikwamua nakumbuka aliajiriwa ktk mojawapo ya kampuni za Mengi.hakuja mjini kwa lori alishakua wa mjini kitambo.
Hili la madawa limenishtua hakua mtu wa tamaa hizo.
NomaNilitaka elimu ila kama inaleta tamaa basii ndukiiiii
hizo laana utakazo pata si za nchi hii, kuna mwl flan alisepa na denii, aiseee sijawahi ona mtu aliewahi laaniwa kama yuleee, wanawake ndio walikua wengii tena wa uswazii, hahaaa ila jamaaa ana roho ngumuu, hakurudi nyumaaaLipotee na kikobe kivunjwe
hizo laana utakazo pata si za nchi hii, kuna mwl flan alisepa na denii, aiseee sijawahi ona mtu aliewahi laaniwa kama yuleee, wanawake ndio walikua wengii tena wa uswazii, hahaaa ila jamaaa ana roho ngumuu, hakurudi nyumaaa
Waliojaribu na kuacha natumai walipata mitaji ya biashara na wakaboresha maisha yao...maisha huwa hayatabiriki unasoma weeeh mpaka PhD unaishia kusubiri nyongeza ya mshahara kutoka kwa JPM Mei mosi na bado unakutana na hakuna.Muuza ngada hatosheki
Ni wachache sana wanaokubali kuachana na kazi hii na kufanya mambo mengine
Mwisho wa Unga ni jela,kufa,kuutumia
Formula ya biashara ya Unga ni ipo siku hela mali zote zitarudi huko
Ona shkuba hakuna mtu aliyekuwa anauza kma yeye lkn leo yuko wapi?
Ova
Tobaaaaaa boss ukirudi unakuta dada kaanika laptop juani hapo ina vitu kibao vya kaziniNi kama huyu hapaView attachment 1088527
Aliacha kivipi akati amekutwa na mzigo!!!
Hapo sasa nafsi itoshekeWaliojaribu na kuacha natumai walipata mitaji ya biashara na wakaboresha maisha yao...maisha huwa hayatabiriki unasoma weeeh mpaka PhD unaishia kusubiri nyongeza ya mshahara kutoka kwa JPM Mei mosi na bado unakutana na hakuna.
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.
Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
weka wazi alikua anakazwa na YULE JAMAA NYUMBA ZAKE ZILIZOWEKWA SOKONI NA SERIKALI DR SHIKA AKAZUGA KUNUNUA.....akampeleka mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa gharama za milioni 28Thubutu Kuna kipindi mmewe alisimama hii biashara maisha yakayumba Shamimu alikuwa anakazwa na......... bila kificho Nsembo alikuwa mdogo acha
Nipo aiseeOiiii!!upoo..lon time no kuonekana humuu!!
Kibubu watu wanavunja tena!wale vyao!
Mkuu hao walomkamata wanafanya kazi kwa kufuata Sheria, wamekuta mzigo kilichobaki ni kwenda kuthibitishwa mahakamani tu hapo.Imethibitishwa wapi kuwa ni kweli amekutwa na mzigo?
Nisome vizuri katikati ya mistari nazani utanielewa!
Tunapojadili tujaribu ku provide %
Ndo maana sheria inataka kuthibitishwa Mahakamani.
Nenda central kawahoji mkuuImethibitishwa wapi kuwa ni kweli amekutwa na mzigo?
Nisome vizuri katikati ya mistari nazani utanielewa!
Tunapojadili tujaribu ku provide %
Ndo maana sheria inataka kuthibitishwa Mahakamani.
Kwelii mjini kuna mambo wenyewe wanasema mji huo wenu mzito...weka wazi alikua anakazwa na YULE JAMAA NYUMBA ZAKE ZILIZOWEKWA SOKONI NA SERIKALI DR SHIKA AKAZUGA KUNUNUA.....akampeleka mbuga za wanyama yeye na mashosti zake kwa gharama za milioni 28
nashangaa wanaosema nsembo ni tajiri aliyumba sana hapa katikati sidhani hata kama milioni kumi alikuwa nayo,atakuwa alipata nguvu baada ya kuona Daud Bashite yupo poa na kina kinje na kanyau kwa hiyo game on na yeye akaanza kurudi kwenye game sasa
Hyo shamim wiki kama 2 zlizopita nlimuona anatoka gym azura hpoHahahhahahah acha kabisa
Aisee! Kweli watu mnajua kutiririka humu. Wenye kazi yao wanadesa tu kwenye huu uzi.Q plus wakina D watoto wadogo
Kuna bro mmja hata jna nlikuwa naye moro
Anaitwa A analima hatari na hataki kusikia mambo ya ngada
Watu walimuona fala muoga
Huyo nakumbka alijipeleka mwenyewe kwa nzowa nakumwambia mzee nimeacha mambo hyo na alisaini
Ni mkulima mwenzangu Sema yuko vzuri
Ukitaka ugombane naye mchomeke stori za biashara za ngada.....
Ova
Boss naongea ninachokifahamu. Sizingumzii makapi, nazungumzia Uncut heroine toka wao wanapopaita shamba, uzito wa gram 400 popote pale duniani haifiki bei uliyoitaja ya million 200. Na uncut heroine ndo inayosafirishwa na naamini ndo waliyokamatwa nayo hao mabwana. Huyo teja itakuwa kakwambia hizo data akiwa hajui what it worth.
Umezungumzia swala la pipi, pipi za madawa zinafungwa katika standard ya gram 10 kwa pipi moja. Hivyo katika hiyo gram 400 zitatoka pipi 40 za kumeza.